Dah mna moyo sana kuvumilia.Boss wangu wa zamani alikuwa ni mtu wa kusikiliza sana maneno ya watu kwa vile yeye pia ni mpenda umbea, kwahiyo watu wakikukandia utafukuzwa kazi.
Huyu mwingine yeye unaweza ukawa umeshafanya kazi zako akikukuta umerelax ataanza kutafuta kitu cheese kasoro ilimradi uinuke ukakishughulikie
Mie mwaka mmoja nishapoteza ajira mara tatu kwa kuwa short tempered.