nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 12,898
- 14,604
Naam katika maisha ya hapa na pale ya utafutaji enzi za ujana wangu nilipata kuwa na boss mwanamke wa makamu (mtalaka mwenye watoto watano).
PIcha linaanza siku ya kuitwa kazini nikapigwa stop na sababu zilizotolewa hazikuwa na mashiko yeyote..baasi huku na kule nikaenda pahala kwingine kufanya kibarua (zamani kazi haikuwa big deal kupata).
Baada ya mwezi boss katuma watu wanitafute.... zamani kulikuwa hakuna simu za mkononi na zaidi ya hapo nikakuta barua,,lakini sio ya kiofisi..ni ya kibinafsi...zamani kulikuwa na barua za express (par avion kwa ndege)bahasha ya buluu,
Moja ya mzee aliyetumwa kunitafuta ni Ngosha (ustaadhi fulani hivi wa kanda ya ziwa lakini mambo yake ya kipwanipwani)..Huyu mzee akanishauri sana nisiiache nafasi ile kwani palikuwa na maslahi ...alinishauri sana sababu nilikuwa nimeshakata tamaa sababu ya kupigwa stop kwa namna fulani ya dharau,
Anyway kwa kifupi nikaripoti kazini nikapokelewa vyema..kama kawaida nikapata na umbea wa kutosha.
Ikawa usiku ikawa mchana yule boss alikuwa ni mwiba kwangu..kitu kidogo anafoka kana kwamba kuna nini sijui... kazi kwa upande wangu ikawa ngumu sana, wapo walionishauri nikaloge, wapo walionitia moyo nivumilie..Lakini yule mzee wangu mwenye mambo ya kipwani akanipa ushauri wa ajabu kidogo,,akanijuza kwamba huyu boss anataka umpige miti..lahaulaa.
Nikatuliza akili nikatafakari nikaona labda....ngoja nijaribu...daah lakini kwa ukali wake..... namna ya kumuingia najaribu kufikiri nini kitatokea.....mtu mwenyewe kasoma maulaya huko enzi za Mwalimu si mchezo karudi na pijo,,kwani maboss wenzake vipii??....napiga hesabu naona hataa si kweli.
Mzee wangu mwenye mambo ya kipwani akazidi kusisitiza yule dawa yake mchape nao..Chui mkali lakini anazaa,,,,ndipo akanifungua macho,,,akanijuza we unafikiri kwa nini kila safari anakuchagua wewe???
Ghafla nikakumbuka ndio maana,,,tunapokuwa safarini yeye huvhukua ndege mie naendesha gari mpaka Arusha AICC kwenye mamikutano halafu yeye Aidha nitampeleka New Arusha Hotel au Mount Meru Hotel Halafu mie naenda kulala Kijenge Hotel.
Siku akirudi Dar nampeleka KIA then ninakuwa na list ya vitu vya kununua hasa ndizi n.k n.k narudi navyo Dar,
Nusu ya vitu ananiachia......
Hivi saa hizi ni saa ngapi??
ngoja niende maliwato nirudi kama kuna swali...
au sio vp

Nikajikuta bafuni nimevaa Rob yale makoti fulani ya kishua ya kwendea bafuni nikitafakari yaani nishambandua huyu kiumbee???>>>>>>>>
Mzee wangu akanipongeza sanaa na akawa mwanangu mpaka anastaaafu......nilipohamia kwenye malori kila nikitoka trip lazima nimkumbuke.