Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Duh hao ndugu waliofukuzwa kazi jamani hatari sana ukute alibakiza miaka michache asitaafu
 
Kusema kweli mie mwanamke wa vipodozi vilivyopitiliza hapana kwakweli daaaah! Unakuta mtu ngozi haieleweki imekuwa kama kaa la moto linalowaka, midomo myekundu kama kalio la ngedere, nywele kama simba dume lililokomaa, mikucha kama mkaba watu, uso kama maiti iliyoandaliwa kwaajili ya kutolewa mochwari looooh!
Hahahaaaaaaaaa.....,umefanya jioni yangu kuwa muruaaah..nimejisahau kama faza hausi kesha toa vitu vyangu ndani
 
Kama kulivyo na majira mbali mbali ya mwaka hivyo hivyo kukawa na wanawake warefu,wafupi,wanene, wembamba,weusi,weupe , wenye gluteal kubwa na gluteal ndogo lengo ni kila mtu kuna kitu anapenda tofauti na mwingine mleta mada kaelezea akipendacho yeye na hata wewe kuna hicho upendacho na sio lazima mwingine akipende
 
Wewe mahondaw wangu... Mungu amaekupendelea kitu kitu/Kila kona... Macho, sura, lips, kifua, kiuno, hips, nyuma ndiyo amazing... And you have a very sweet and soft touch... Macho ndiyo daaah.... Na naniliuu... Woyooooo

Am lucky to have you...
mkuu.hivi huyo mahondwa sijui makonda...una uhakika kuwa ni demu?maana naona mna mchecheto humu jf hatari.
 
Mungu nakuomba wapunguzie mihemko hawa wavulana, ndio mana wasichana wa sasa wanashindwa kujikubali kwa tabia km hizi, utawakuta kila kitu fake, kuanzia ngozi, kucha, nywele, breast, chura pia fake kumbe hivi vivulana vyao ndo vinasababisha. Pole sana kijana haujui ulitendalo kuna muda ukifika utajuta na utaomba msamaha kwa unayoyaongea
 
Mie kwakweli vigezo vyangu zaidi viko kwenye tabia,muonekano uwe avarage tu,nisishindwe kuongozana nayr barabarani baas yatosha.walosema uzuri wa mwanamke tabia hawakukosea,unless unataka demu wa kupiga na kusepa, otherwise personality matters ukitaka kulifahamu hilo angalia wazazi wako,kama mzee wako angemuoa mama yako sababu ya uzuri saizi baada ya miaka yote hii angalikuwa ashamtema
 
Mwanamke single mwenye hayo yaliyotajwa apo juu ani pm, kwangu sio tatizo, ila tu asiwe single mom.
 
Sasa wew unaweza kushangaa ukafall na kuoa kabisa MTU uyu apa,..

Short chassis,flat bar,single mom..mungu akakuongezea, kabisa na BIGGG BOOBSS kama extra charges,
daaah imenibid nicheke mkuu eti na extra charges
Watu mnamasihara2×
 
Back
Top Bottom