Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

nafanya maombi:

MUNGU BABA ULIYE KETI KITI CHA JUU NA UKASEMA MIGUU YAKO INAKANYAGA DUNIANI SIFA NA UTUKUFU NI KWAKO, MWENYENZI NAOMBA TOBA KWA MLETA MADA NA VIJANA WENGINE WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO NA KUSAHAHU KILA BINADAMU AMEKUJA DUNIANI KWA KUSIDIO MAALUMU NA KWA AJILI YA UTUKUFU WAKO , LEO HII WAMEKAA NA KUKOSOA UUMBAJI HUO WAREHEMU BABA ..

KATIKA NENO LAKO ULISEMA TUOMBE LOLOTE TUTAPATA , MUNGU MWENYE ENZI NAOMBA HAWA WANAUME WANAO KOSOA UUMBAJI WAKO HAYO MAKOSA WALIOANDIKA NDIYO WAWE WAKE ZAO NA WAKIOA WALE WANAO WATAKA WAO MAISHA YAO YAWE TABU NA SHIDA TUPU... AMEN
Mkuje tuitikieni jamani
espy Shunie Sakayo mahondaw MADAM T cherie neisha unique dada everhurt LadyAJ stacia Inna Paprika BADILI TABIA thatsit cesilia Sweet16 Numbisa Mamylicious Sky Eclat sinyora na wengine wengi
 
Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.

Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Mkuuu kuchagua mwenza haihusiani na uumbaji..hata wewe najua unavigezo vyako
 
😀😀😀
Mwanamke mwenye shape kama tuta la viazi akae mbali

Mwanamke mwenye migulu baja I.e miguu kama namba saba ya kirumi akae mbali

Mwanamke mwenye matiti makubwa kama ng'ombe wa kisasa apite mbali

Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali
 
Back
Top Bottom