Kwangu mapenzi nyanaanza na maumbile na maumbile ndio kigezo kikuu, hayo mengine ni yako. Usitake mimi nifanye unachokiwaza wewe, kila mtu ana upendeleo wake kwenye mambo yake.Inasikitisha sana unapojifanya una machaguo wakati hata kuumba hujui. Mapenzi yanajumuisha vitu vingi na sio maumbile pekee.
Hivyo pole kwa kuchelewa kulijua hilo.
Sio kila kitu ni mungu tu, hata biology tuliosoma sekondari miaka mingi iliyopita hukuielewa, Mambo ya AA, Aa, aa hukuyaelewa wewe? Wazazi warefu mtoto mbilikimo atoke wapi?Halafu wewe hujui. Wale flat screen ni 'wachacharikaji' wazuri kwenye 6 x 6. Na single mums walidanganywa na wanaume kama wewe halafu wakaachwa solemba. Unaposema hutaki 'short chasis' unamtukana Mungu. Hakuna binadamu yeyote aliyechagua kuzaliwa mrefu au mfupi. Na unaposema namna hiyo Mungu anaweza akakasirika akakupa watoto wa kike tu tena wote mbilikimo. Chunga sana unachokisema.
Unajmkuta mtu yuko kama sufuria ya kupikia, haeleweki wapi mbele wapi nyuma.Mwanamke mwenye shape kama tuta la viazi akae mbali
Mwanamke mwenye migulu baja I.e miguu kama namba saba ya kirumi akae mbali
Mwanamke mwenye matiti makubwa kama ng'ombe wa kisasa apite mbali
Mwanamke mwenye matiti yaliyo lala Kama plaster kifuani (akiinama kudeki yananing'inia kama nguo zilizoanikwa kwenye kamba) apite mbali
Kusema kweli mie mwanamke wa vipodozi vilivyopitiliza hapana kwakweli daaaah! Unakuta mtu ngozi haieleweki imekuwa kama kaa la moto linalowaka, midomo myekundu kama kalio la ngedere, nywele kama simba dume lililokomaa, mikucha kama mkaba watu, uso kama maiti iliyoandaliwa kwaajili ya kutolewa mochwari looooh!

Kwa kipi haswa alichokuwa nacho hadi wamfuateKwani nani anakufuata mkuu?
Kivipi mkuu Hhh amekutaja au?Asante mkuu nimekusikia.