The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,910
- 19,116
Habari za wakati huu wakubwa.
Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.
Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;
1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.
2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.
3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.
Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.