Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Hatujakataa vigezo na masharti yake,
swali ni:
ILIKUA LAZIMA AONGEE PUBLIC???
ANATAFUTA MPENZI???
NANI AMEMFATA WA AINA HIYO???
KWANINI HAKUMWAMBIA DIRECT???

Mwisho wa siku ni kua jamaa amekwama, ana hasira na maisha, anatamani makubwa wakati vidogo vinamshinda,
ukisoma vizuri saikolojia utamuelewa mtoa mada vile alivyovurugwa.
Kweli kabisa mumy
 
Hatujakataa vigezo na masharti yake,
swali ni:
ILIKUA LAZIMA AONGEE PUBLIC???
ANATAFUTA MPENZI???
NANI AMEMFATA WA AINA HIYO???
KWANINI HAKUMWAMBIA DIRECT???

Mwisho wa siku ni kua jamaa amekwama, ana hasira na maisha, anatamani makubwa wakati vidogo vinamshinda,
ukisoma vizuri saikolojia utamuelewa mtoa mada vile alivyovurugwa.
Teh teh Nathaniel ujumbe utakuwa unemfikia.. Kosa lake kuhajusema huku sindiyoo?? Lbd anatoa tahadhari lbd wapi wasio navigezo anavyovitaka wame m pm
 
wewe ni ke?

Majina ya Jovita mara nyingi huwa ni ya kiume

Haya bhana Dada jovitha nakutaka radhi.
wewe wapi kuna jovitha mwanaume,,????!!!!!!


!!!!!!!!!!! Ukiniambia Jovan... Jovini sw lkn me anaitwa jovitha?????
 
Mkuuu kuchagua mwenza haihusiani na uumbaji..hata wewe najua unavigezo vyako
Mkuu, wamenibadilishia mada kua nimekashfu uumbaji.

Hakuna mahala nimekashfu uumbaji wa mungu kama wanavyodai, kuchangua mwenza hakuhusiani na uumbaji.

Kila mtu ana uhuru wa kusema anavutiwa na mwanaume au mwanamke wa aina gani.

Hayo ya uumbaji sijyi yametoka wapi.
 
Wewe mahondaw wangu... Mungu amaekupendelea kitu kitu/Kila kona... Macho, sura, lips, kifua, kiuno, hips, nyuma ndiyo amazing... And you have a very sweet and soft touch... Macho ndiyo daaah.... Na naniliuu... Woyooooo

Am lucky to have you...
haya mambo siyakutangaza mkuu...huo si ustaarabu...ni vyema kumsifia mpenzi wako ila si la haja kutaja mengine..jiangalie bwana..
 
Habari za wakati huu wakubwa.

Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.

Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;

1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.

2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.

3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.
Mwanamke yoyote yule tafadhali asije akathubutu kabsaaa au kujaribu kukaa mbali n mm.... Atanichukiza saaana n atafanya niwachukie wanawake, dhambi ambayo nimepanga kutokuja kuifanya dunian mpk nakufa!
 
Mkuu, wamenibadilishia mada kua nimekashfu uumbaji.

Hakuna mahala nimekashfu uumbaji wa mungu kama wanavyodai, kuchangua mwenza hakuhusiani na uumbaji.

Kila mtu ana uhuru wa kusema anavutiwa na mwanaume au mwanamke wa aina gani.

Hayo ya uumbaji sijyi yametoka wapi.

Mmmh...bado nipo njiapanda mkuu

Mfano watu wamejificha mvua Kituoni halafu anakuja mtu anapaki gari kwa lengo la kutoa lift...halafu anasema, waingie watu wembamba tuu!

Je atakuwa ametoa taswira gani kwa watu waliopo kituoni?
- Amewapendelea watu wembamba
- Kila mtu ana uhuru wa kusema anavyojisikia
- Amewatusi watu wanene
- Gari ni lake, kasema anavyojisikia
 
mama yako ni flat au chogo?dada zako nao vepeee!!wenye mizigo nyuma wapo kibao kijiweni.jitwalie kiulain
Nimerusha jiwe gizani nasikia vilio tu, flat screen mnaumia tu kwa maumivu, pole na kaa mbali na mimi.
 
Kw mtazamo wng me huwa nahc humu Jf watu wanafanya jokes zaidi ili kuchangamsha kijiwe, maana kuna story na comments ngumu ambazo ukizitafakari nying hazina uhalisia...so niwaombe tuchukuliane wadau!
Ktk comments zote nilizopitia hii ndio imejibu uzi wote wa jamaa so haina haja ya kuchukia
 
Back
Top Bottom