Aina hii ya wanawake wakae mbali na mimi

Habari za wakati huu wakubwa.

Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.

Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;

1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.

2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.

3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.

Daaa...kumbe ule msemo kuwa watu wa aina fulani hawakosekani kwenye jamii ni wa ukweli!

Upo nje ya mstari, wengi hawatakufuata huko ila naamini atatokea mtu wa aina yako na kukutendea haki sawia na mada yako.

Ingekuwa vizuri kama ungeweka sifa zako hapa, tupate kujua ulivyobarikiwa na usipesho ulionao.

Kufanya hivyo itatusaidia wengi, hasa kupanua bongo lala zetu.

PIA ITAKUPA MWANGA WA HATUA GANI UCHUKUE BAADA YA KUJUA KUWA HAO UNAOWATAKA LABDA HATA WEWE HAUKIDHI VIGEZO VYAO!

Wanasema kukaa kimya pia ni jibu kwa....., lakini acha tuu nikulipue kwa niaba yao.
 
Teh teh teh mapenzi nizaidi ya muonekanooo lkn.....hicho ndiyo huwa kitu cha kwanza Kuvutia mtuuu mpk anaamua kuanzisha na muhusika mahusianoooo........mi naona mtoa mada yupo sawa coz kila mtu anachaguo lakeeee
leo kaka umekomenti positive mpaka nimefurahi.
 
Kaone kwahiyo kila nakopita uanifuatilia sindiyoooo.?????

......haya piga goti uniombe radhi nani kskwambia mm ni me.?????? B

Naondoka nikiludi olee wako .. Naona lengo lako nikuniminyia fursa etii??!
 
wewe ni ke?

Majina ya Jovita mara nyingi huwa ni ya kiume

Haya bhana Dada jovitha nakutaka radhi.
 
mwanamke anae vaaa mawigi na kusukia rasta akae mbali nami anamkosoa muumbaji
 
Teh teh teh mapenzi nizaidi ya muonekanooo lkn.....hicho ndiyo huwa kitu cha kwanza Kuvutia mtuuu mpk anaamua kuanzisha na muhusika mahusianoooo........mi naona mtoa mada yupo sawa coz kila mtu anachaguo lakeeee
Hatujakataa vigezo na masharti yake,
swali ni:
ILIKUA LAZIMA AONGEE PUBLIC???
ANATAFUTA MPENZI???
NANI AMEMFATA WA AINA HIYO???
KWANINI HAKUMWAMBIA DIRECT???

Mwisho wa siku ni kua jamaa amekwama, ana hasira na maisha, anatamani makubwa wakati vidogo vinamshinda,
ukisoma vizuri saikolojia utamuelewa mtoa mada vile alivyovurugwa.
 
Habari za wakati huu wakubwa.

Natanguliza pole zangu kwa wale mliokumbwa na ridandansi mubashara toka chamwino na ambao majina yenu yatachapishwa kuanzia kesho magazetini kwa kugushi vyeti na kuliibia hili taifa mabilioni ya shilingi.

Mimi binafsi nina vigezo vyangu inapokuja swala la mahusiano na wanawake, sifa yangu kubwa kwa mwanamke ni jinsi alivyo kiumbile, akili, pesa, sijui mafanikio gani hua sio kigezo kwangu, ila wanawake wa aina hii wakae mbali na mimi;

1. Mwanamke flat screen akae mbali na mimi, mwanamke ambae amepitiwa na msumeno wa chuma kwa nyuma akae mbali na mimi, hata awe na sura nzuri namna gani ila kama beki yake haiko imara huyo akae mbali na mimi.

2. Mwanamke short chesis, mwanamke mfupi hata awe mzuri na mafanikio ya aina gani ila kama amerefuka kwenda chini akae mbali na mimi, najua ghubu za watu short chesis mnazijua, hivyo mwanamke wa namna hiyo akae mbali na mimi.

3. Single moms[naomba ieleweke kua nawaheshimu sana single mamas, naheshimu sana wanawake], ila kwa kweli single moms wakae mbali na mimi.

Naomba ieleweke kua haya ni maoni yangu binafsi na wala sina lengo la kumkashifu mtu hapa.
We mwenyewe umekamilika?
 
Back
Top Bottom