soweto85
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 301
- 247
usipopenda kitu, hususani maumbile ya binadamu, ni heri ya kujisemea moyoni. kuliko kuyatoa nje ya moyo na kuyaweka hadharani. kwa sababu ni kuwakwaza wahusikao, na ni chukizo kwa muumba mwenyezi. kwa kuwa kila mja alizaliwa kwa jinsi yake bila kujipangia. so we have to be carefully with words.
