Inawezekana ni sabuni ya ungaYaani Mimi ningemzamisha kwa pipa atoe Sabuni aloo. Sipendagi ujingaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inawezekana ni sabuni ya ungaYaani Mimi ningemzamisha kwa pipa atoe Sabuni aloo. Sipendagi ujingaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
It's called trolling Mrs Harry. Huyu Wala hukupaswa kumjibu. Umempa thamani sana kwa kumjibu. Kama vipi futa kabisa hiyo comment.Bila shaka wewe ndo yule maskini wahenga waliesema "maskini akipata ma#&ko hulia mbwata".
Hivi unahisi wote wanaoishi nyumba za kupanga hawana nyumba zao au ni maskini???
Ushawahi waza wengine wanaishi mikoa mbali na kule walikojijenga kwasabu ya kutafuta riziki?? Ushawahi waza kua mtu anaweza awe amejenga nje ya mji lakini kwasabu ya umbali wa shuhuli zake kaamua kuweka wapangaji ktk nyumba yake na yeye kapanga sehemu kwa ajili ya convenience??
Watu wengine bhana... SMH!!!
Halafu sasa wanaoishi kama vivuli unakuta haonekani mda wote mlango umefungwa na huwezi kusikia anadaiwa kodi ashamaliza siku nyinginahisi mimi ni mmojawapo wa wanaoishi kama kivuli
WakuacheeeKwani kupanga ni maajabu eeenh
Ndio nimepanga
Funga mlango usiwe na mazoea ya kuacha mlango waziYaan mm nnapo kaa kuna katoto ka mpangaji nwenzangu kanaboaà hatarii . kanaingia ndani bila hodi hadi chumbani kakikuta chochote Kanataka kale . yaan full kuboa tu.
Mama mkwe!No.3 Na 8 nimewapendaa 🤣🤣🤣
Mwambie huyo unakuta nyumba yenyewe hana.Mi nimejenga nyumba nzuri tu lakini nimepanga mkoa ninaotafutia hela.Bila shaka wewe ndo yule maskini wahenga waliesema "maskini akipata ma#&ko hulia mbwata".
Hivi unahisi wote wanaoishi nyumba za kupanga hawana nyumba zao au ni maskini???
Ushawahi waza wengine wanaishi mikoa mbali na kule walikojijenga kwasabu ya kutafuta riziki?? Ushawahi waza kua mtu anaweza awe amejenga nje ya mji lakini kwasabu ya umbali wa shuhuli zake kaamua kuweka wapangaji ktk nyumba yake na yeye kapanga sehemu kwa ajili ya convenience??
Watu wengine bhana... SMH!!!
Mama mkwe!
Mi nipo sana,I hope ameshakua nakuja kumchukua mke wanguAbee za kupotea mkwe wangu.
Mi nipo sana,I hope ameshakua nakuja kumchukua mke wangu
Mikwara ya Andunje... by the way tunayajua matatizo ya akina Andunje, hili halitusumbui sanaKumbe kuna watu huwa wanaishi nyumba za kupanga.....natoa ofa nina kanyumba kadogo hapa Bunju kwenye hekalu langu ambacho huwa nawekea viatu tu sasa nwenye shida aje aihi bure kabisa
Machungwa yanasaidia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sentenci ya mwisho kuna kipindi wakati naishi maeneo flani mjini nilijikuta nimeamka saa 6 usiku nimekaa sebleni namenya zangu machungwa nala.... kwasabu kelele na miguno ya chumba cha pili I couldn't sleep Wallah! [emoji16][emoji16][emoji16]Mbaya zaidi nyumba nzima tulikua tunakaa wadada kwahiyo majirani wanaona wanaume wanaingia tu ila hawajui kelele zinatokea kwa nani.... Asubuhi mkitoka nje wanawaangalia kumbe wengine tumekesha tunakula machungwa!!!!
Tena ukiwa huna kazi, hata watoto wakienda kujisaidia wakasahau kuflash mzigo (chooni) utaambiwa ni wewe tu. Hatarinyumba za kupanga,tatizo linakuja pale mnapokuwa mnashea choo
Yanadhibiti ashki majnuni.Machungwa yanasaidia nini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hii ni nzuri na ndio style nzuri, kwenye nyumba za kupanga ni kama Kambini! Likitokea tatizo au events zozote unawashirikishaje km majirani?There are times nisipoenda kazini sitoki nje kabisaaaaa mageti yote ya mbele na nyuma sifungui hata kufuli (tunaishi kwenye apartment ndani ya compound) ko unakuta wanakaa kibarazani wanapiga story zao, mie nimejifungia tu ndani. Mpk niwashe TV ama redio ndo wanashtuka kuna mtu.
Jioniii ndo nafungua kwenda kunyoosha miguu...na sinaga wageni wageni wakila mara wala sina msaidizi wa kazi ko hawewezi hata ku guess mi ni mtu wa aina gani.
Na sio kwamba nimejitenga au naringa walaa ndio life style tu nlochangua na nnayoipenda. Twice tushawahi ingiliwa na vibaka nakuaga wa kwanza kushtuka na ku wa alert kwa simu au kupiga kelele.Kukiwa na tatizo au shida inayotuhusu wote tunashirikishana vizuri tu kama maji kukatika au kulipa bill ya taka taka.... mazoea yanaishia hapo.
Story story wala sinaga.
Soma paragraph ya mwisho vizuri... Tunashirikishana events au matatizo vizuri tu. Kama mtu anasafiri tunajulishana ili wengine tutupie jicho kwake once in a while.Hii ni nzuri na ndio style nzuri, kwenye nyumba za kupanga ni kama Kambini! Likitokea tatizo au events zozote unawashirikishaje km majirani?