Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Me namba nne. Luku yangu ndani maji ntachangia kwa wakati...mazoea yanaishia kwenye salamu.Zaidi ya hapo hutajua naishije wala nafanya shuhuli gani. Privacy inasaidia esp. nyumba za kupanga, inakupunguzia migogoro na mazoea yasiyo maana
Meghan tumefanana kwenye hilo. Sometimes huwa wanadhani kuwa mpelelezi. Maana huwa naonekana asubuh kwa nadra.. sionekani nikirudi. Hata nikiwepo haijulikani. Yaan kiufup hawanisomi..
 
Namba 4. Ndio mimi haswaa,na staki mazoea yasiyoeleweka na majirani,zaidi ya salamu,staki vitu vya kushare jumuia,.na sitaki vikao.kama kuna mabadiliko yoyote mwenye nyumba atapiga simu au sms.
 
Meghan tumefanana kwenye hilo. Sometimes huwa wanadhani kuwa mpelelezi. Maana huwa naonekana asubuh kwa nadra.. sionekani nikirudi. Hata nikiwepo haijulikani. Yaan kiufup hawanisomi..
There are times nisipoenda kazini sitoki nje kabisaaaaa mageti yote ya mbele na nyuma sifungui hata kufuli (tunaishi kwenye apartment ndani ya compound) ko unakuta wanakaa kibarazani wanapiga story zao, mie nimejifungia tu ndani. Mpk niwashe TV ama redio ndo wanashtuka kuna mtu.
Jioniii ndo nafungua kwenda kunyoosha miguu...na sinaga wageni wageni wakila mara wala sina msaidizi wa kazi ko hawewezi hata ku guess mi ni mtu wa aina gani.
Na sio kwamba nimejitenga au naringa walaa ndio life style tu nlochangua na nnayoipenda. Twice tushawahi ingiliwa na vibaka nakuaga wa kwanza kushtuka na ku wa alert kwa simu au kupiga kelele.Kukiwa na tatizo au shida inayotuhusu wote tunashirikishana vizuri tu kama maji kukatika au kulipa bill ya taka taka.... mazoea yanaishia hapo.
Story story wala sinaga.
 
Nyuzi ijayo itakua inahusu WALE WATU tunaokutana nao katika sherehe za harusi: Kuna wale wazee wa kula, Wazee wa make-up na nyusi kama paka mwizi, Mashangazi/Wajomba wenye viherehere kutuuliza lini tunaoa/kuolewa wakati bado tuna tafrani kupambana na hawa wapangaji tulionao kwenye hii nyuzi ya leo
Usisahau kunitag
 
Kumbk kunitag mkuu
 
Kumbe kuna watu huwa wanaishi nyumba za kupanga.....natoa ofa nina kanyumba kadogo hapa Bunju kwenye hekalu langu ambacho huwa nawekea viatu tu sasa nwenye shida aje aihi bure kabisa
 
Back
Top Bottom