Adamjuma94
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 3,292
- 4,752
"nikampa Yale makonzi ya kusugua kichwa na Bonge LA banzi mgongoni!"Mtoto Wa mwenye nyumba 4yrs,alikua mtundu balaaaa!!bhas Mzee baba nimejipinda nikajaza maji pipa akaja akatia sabuni!!daaah nilimvizia nikamkamata nikampa Yale makonzi ya kusugua kichwa na Bonge LA banzi mgongoni!!mamake kuja juu wapangaji wote wakamcharukia wakamwambia mwanao kazidi tumemchoka na wewe unamdekeza!!itabid awe mpole, na yule Mtoto alikua akijua nipo anakua km piritoni!!
nimependa hii