Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Aina 8 za wapangaji katika nyumba za kupanga

Namba tano inanihusu,baba mwenye nyumba ananipa lawama sana kuwa nawaharibu watoto wake kwa namna wanavyoona nakaribisha wageni wa jinsia moja tofauti na yangu kila mara kwenye room yangu, tena wanakuja kulala!!
 
Kumbe kuna watu huwa wanaishi nyumba za kupanga.....natoa ofa nina kanyumba kadogo hapa Bunju kwenye hekalu langu ambacho huwa nawekea viatu tu sasa nwenye shida aje aihi bure kabisa
Bila shaka wewe ndo yule maskini wahenga waliesema "maskini akipata ma#&ko hulia mbwata".
Hivi unahisi wote wanaoishi nyumba za kupanga hawana nyumba zao au ni maskini???
Ushawahi waza wengine wanaishi mikoa mbali na kule walikojijenga kwasabu ya kutafuta riziki?? Ushawahi waza kua mtu anaweza awe amejenga nje ya mji lakini kwasabu ya umbali wa shuhuli zake kaamua kuweka wapangaji ktk nyumba yake na yeye kapanga sehemu kwa ajili ya convenience??
Watu wengine bhana... SMH!!!
 
Sijawaona wazee wa totozi kila siku anakuja na dem mpya mpaka anagonganisha. Pia wapo wale wanandoa wakianza kufanya yao utafikiri wameweka kanda ya porn wanatoa sauti kama wameweka subwoofer, hii huwa inanoga upate nyumba isiyokuwa na dari utafurahi na roho yako hasa ukiwa bachela
 
Mtoto Wa mwenye nyumba 4yrs,alikua mtundu balaaaa!!bhas Mzee baba nimejipinda nikajaza maji pipa akaja akatia sabuni!!daaah nilimvizia nikamkamata nikampa Yale makonzi ya kusugua kichwa na Bonge LA banzi mgongoni!!mamake kuja juu wapangaji wote wakamcharukia wakamwambia mwanao kazidi tumemchoka na wewe unamdekeza!!itabid awe mpole, na yule Mtoto alikua akijua nipo anakua km piritoni!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mkuu umetisha sana aisee nimecheka vibaya mno
 
Yani kama una tabia ya kuwasha redio kwa sauti kubwa inabidi ujirekebishe aisee, it annoys big tym. Ni kukosa ustaarabu kufungua mziki mkubwa kila mtu asikie redio yako tu.
Growing up somewhere we had a neighbor ambae akiwasha TV kama na sisi tunaangalia same channel tuna mute TV yetu sauti tunaskilizia kwake!!! He was that much arrogant!!!
 
Bila shaka wewe ndo yule maskini wahenga waliesema "maskini akipata ma#&ko hulia mbwata".
Hivi unahisi wote wanaoishi nyumba za kupanga hawana nyumba zao au ni maskini???
Ushawahi waza wengine wanaishi mikoa mbali na kule walikojijenga kwasabu ya kutafuta riziki?? Ushawahi waza kua mtu anaweza awe amejenga nje ya mji lakini kwasabu ya umbali wa shuhuli zake kaamua kuweka wapangaji ktk nyumba yake na yeye kapanga sehemu kwa ajili ya convenience??
Watu wengine bhana... SMH!!!
Brave mind [emoji122]
 
Sijawaona wazee wa totozi kila siku anakuja na dem mpya mpaka anagonganisha. Pia wapo wale wanandoa wakianza kufanya yao utafikiri wameweka kanda ya porn wanatoa sauti kama wameweka subwoofer, hii huwa inanoga upate nyumba isiyokuwa na dari utafurahi na roho yako hasa ukiwa bachela
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii sentenci ya mwisho kuna kipindi wakati naishi maeneo flani mjini nilijikuta nimeamka saa 6 usiku nimekaa sebleni namenya zangu machungwa nala.... kwasabu kelele na miguno ya chumba cha pili I couldn't sleep Wallah! [emoji16][emoji16][emoji16]Mbaya zaidi nyumba nzima tulikua tunakaa wadada kwahiyo majirani wanaona wanaume wanaingia tu ila hawajui kelele zinatokea kwa nani.... Asubuhi mkitoka nje wanawaangalia kumbe wengine tumekesha tunakula machungwa!!!!
 
Mambo ya kufunguliana Muziki, kuna mpangaji tulikuwa tumepanga naye akiamua anapiga muziki kweli, kipindi hiko ndo Ali Kiba na Queen Darleen, Marlow Bembeleza, Latifa ya Mb Dogg ikawa full, ukimkataza ndo kama umechokoza.

Kuna siku alitembelewa na shangazi zake, jamaa wa chumba walichopakana akaweka porno, akafunga mlango akaondoka, halafu sauti ya juu.

Ilikuwa shida, mpaka wale shangazi wanaondoka bila kuaga, na wanamwambia ahame pale, ilikuwa aibu sana.
 
Ana roho ngumu sana huyu mtu, jasusi kabisa
 
Back
Top Bottom