Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Post yangu inaimply hicho?
Hakuna post, nauliza tu.

Kwa maana nyingine, where do you draw the line between a man being overly weak on the one hand, being rightfully assertive in the middle and being out and out abusive on the far hand?

Mwanamme mwingine akisikia unasema yeye awe juu anaona ndiyo umempa leseni ya kuwa abusive.

Akirudi tu "We mwanamkeee, ukowapi, maji ya kuoga ushanichemshia? Mwanamme nimetoka kazini usifanye kulala lala hapa lazima ufanye kama mwanamke anavyotakiwa".

Na unatakiwa ujibu "Hewalla bwana sayyid yangu kipenzi"

Hapo vipi?
 
Kweli usemalo mkuu ila kuna wengine hata katika hayo mambo ya msingi bado hawataki haki iwepo.
Hilo sasa linakuwa tatizo lingine. Lakini kuna maswala yanakuwa ni ya mwanaume moja kwa moja na kuna maswala ni ya mwanamke moja kwa moja.
 
Hakuna post, nauliza tu.

Kwa maana nyingine, where do you draw the line between a man being overly weak on the one hand, being rightfully assertive in the middle and being out and out abusive on the far hand?

Mwanamme mwingine akisikia unasema yeye awe juu anaona ndiyo umempa leseni ya kuwa abusive.

Akirudi tu "We mwanamkeee, ukowapi, maji ya kuoga ushanichemshia? Mwanamme nimetoka kazini usifanye kulala lala hapa lazima ufanye kama mwanamke anavyotakiwa".

Na unatakiwa ujibu "Hewalla bwana sayyid yangu kipenzi"

Hapo vipi?
Hahahaaaa!!! Mwanaume/mwanamke lazima atambue wapi pa kuchora mstari. Ukiona unashindwa basi tambua kuna tatizo mahali fulani.

Bottom line is, haya mambo inategemeana na malezi na namna mlivyoyajenga mahusiano yenu.
 
Hatushindwi na ndio iko hivyo sasa
50 50 ni uboya na upuuzi
wapo sana tu mkuu mie nimshuhudia famiia moja mke anapika mume anafua!sema wewe kwako hali ni tofauti(na lazima unatokea kanda zileeeee)mshindwe
 
Yaan wanawake wa kizazi hiki walivyo na akili za kuambiwa sasa hivi wataanza kutuigizia hizo tabia
 
Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Kama unayo F nipo tayar kutangaza ndoa kabisa kwakwel
 
Joseverest, kumbe kinyozi hajinyoi nikajua utakua first to reply wewe mwenyewe kwenye thread yk
 
Back
Top Bottom