rubii
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 14,106
- 18,715
Wakirukaruka ntakusaidia kuwa rudisha ndani.
Wewe huogopi?! wakikurukia jeee
Wakirukaruka ntakusaidia kuwa rudisha ndani.
hii inaitwa "statement of intent"😀😀😀
DabyTehteh...
I like them when they're huge,
When they can occupy and take a place. I like them like that.
mkuu mwanamke wa kuridhika na mwanaume mmoja kwa sasa Sahau
Kusoma ni kuelewa mdogo wangu.Swali gani sioni alama ya kuuliza au balimi zimenikolea?
Hahaha, eti wanaume wanapenda wanawake wapenda usawa.Chukua like mkuu, nilivyoisoma hii nikahisi itakuwa imelenga jamii tofauti na hii yetu ya kitanzania. Nikaona anatoa credits kwa mtu mwingine ambae ndio inaonekana ndio muandaa makala. Hivyo yawezekana walicopy hiyo kutoka mahali wakatafsiri.
[HASHTAG]#rubii[/HASHTAG],
Njoo Mama hata kama una umbo la kama karatasi au nyoka. Nakupenda baby girl.
Ooouh kumbe basi mimi nimetoka kapaKusoma ni kuelewa mdogo wangu.
Naomba nikufahamu rafikiWanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Hahahaaaa!!!Hahaha, eti wanaume wanapenda wanawake wapenda usawa.
"Baby leo zamu yako kupika na kumbadili mtoto nepi, mi nakwenda kwa shoga zangu tupige soga na kusukana nywele".
Kamaumepata bahati akubali,wenzake wakijua watasema umempa limbwata rafiki yao.
Hata dada zake wanawake wenzako watakusakama kwamba umemfanya kaka yao msukule.
Halafu unaambiwa wanaume wanapenda uasawa!
Hayo mambo yenu huko huko Marekani.
Kuna siku country cousin wangu mmoja aliona nimepiga picha jikoni kama napika (nilikuwa navunga tu), aliniwakia sana, eti mwanamme wa kweli wa kabilaletu hata kuingia jikoni ni mwiko.
Sasa mtu wa jamii hii umwambie habari za usawa, baby zamu yako kupika leo.
Haahaaaa.
Hebu tuambiane ukweli jamani. Au siku hizi tunakwenda na wakati?
Hahaha, eti wanaume wanapenda wanawake wapenda usawa.
"Baby leo zamu yako kupika na kumbadili mtoto nepi, mi nakwenda kwa shoga zangu tupige soga na kusukana nywele".
Kama umepata bahati akubali, wenzake wakijua watasema umempa limbwata rafiki yao.
Hata dada zake wanawake wenzako watakusakama kwamba umemfanya kaka yao msukule.
Halafu unaambiwa wanaume wanapenda usawa!
Hayo mambo yenu huko huko Marekani.
Kuna siku country cousin wangu mmoja aliona nimepiga picha jikoni kama napika (nilikuwa navunga tu), aliniwakia sana, eti mwanamme wa kweli wa kabilaletu hata kuingia jikoni ni mwiko.
Sasa mtu wa jamii hii umwambie habari za usawa, baby zamu yako kupika leo.
Haahaaaa.
Hebu tuambiane ukweli jamani. Au siku hizi tunakwenda na wakati?
Inawezekana anatafuta wa pili kusaidiana na bi mkubwa, au hufagilii mitala?Wewe si umeshafunga pingu za maisha jamani
Pole sana.Ooouh kumbe basi mimi nimetoka kapa
Ninavyoisoma zaidi, imeandikwa kama kejeli.Hahahaaaa!!!
Kwakweli hii makala sio kwa hii jamii yetu.