Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Aina 10 za wanawake wanaopendwa na wanaume

Yani kakaangu sikuhizi una roho mbaya sijui umeichukua ukoo gani!??[emoji35] [emoji35]
Kwahiyo umeona kazi sana kunitag
Sorry please, kwenye mada ijayo nitaku_tag
d7f885c2d849863ed2085e8472db93c3.jpg
 
Sure, mwanaume by nature yuko juu, na ndio anapenda iwe hivyo. Ndio maana hata pamoja na juhudi za kuhangaika na haki sawa bado haijaweza kufanikiwa maana we'll be fighting nature.

Ngumu mnoo kumwambia mwanaume eti "leo zamu yako kuosha vyombo, au wahi nyumbani ukapike, uogeshe na watoto mie nitachelewa kurudi leo"!!! Hiyo bado sanaaa, sijui ni mwanaume gani atakuelewa kwakweli.
Upo sahihi 100%
 
Ninavyoisoma zaidi, imeandikwa kama kejeli.

Hata Wamarekani hawajafikia huku.

Huu ni usanii.

Ukiona imeandikwa "wanaume wanapenda wanawake wanaopenda usawa", soma "wanaume hawapendi wanawake wanaopenda usawa".

Hapo kikwetu utaelewa.

Ndiyo maana ninayoweza kuiona.

Exceptions ni C,G,H,I na J
Aseeh aya mkuu
 
Chukua like mkuu, nilivyoisoma hii nikahisi itakuwa imelenga jamii tofauti na hii yetu ya kitanzania. Nikaona anatoa credits kwa mtu mwingine ambae ndio inaonekana ndio muandaa makala. Hivyo yawezekana walicopy hiyo kutoka mahali wakatafsiri.
yap yap
 
Maisha ya copy paste best, mambo mepesi
Angalia kesi ya hati desi upesi upesi usi face book tetesi
Haya maandiko kati dikodiko mwiko kama kejeli
Kama si burudiko liko liko ujiko wa kitapeli
Mambo ya vijarida vya inda ziso kawaida za ulimbwende
Kutoka kwenye marinda ya mida hii utamu ka peremende
Majira hadhira, madhila hasira zamu za kereng'ende
Kuzila dira iso majira wala ujira, ife kifo cha mende
Ni utani wa ughani, maudhi ya utunzi
Ni kama mpagani umpe shauzi ya jamat ukufunzi
Ni kuweka pana kwenye finyu, utaharibu mambo
Utakana sana mnadhimu mhadimu, kwa kujaribu jigambo
Mtu kwao, hata kama ubao,iga ufe
Mitandao kibao inaiba kwa vitufe
Bonyeza hapa, fanya duara bapa
Halafu wajazie mafala kama we Ben Mkapa
Wasikilize, wameamua kung'amua?
Au umewaua kujua kwa ubua?
Wachote kama maji ya bomba, si NUWA wala mvua
Waondoe akili adili kwa nguvu za bamvua
Maisha kufikirika kuliko tamthiliya
Wengi watamwagika watabaki wanalia...
Duuuh mwana malenga uko vyema
 
Siku hizi wanaume mnapenda chura zaidi kuliko vyote hapo
 
Back
Top Bottom