Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,330
- 17,857
uko vyemaI like them like that.
Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Mi naogopa wakirukaruka je
Wakirukaruka ntakusaidia kuwa rudisha ndani.Mi naogopa wakirukaruka je
[HASHTAG]#rubii[/HASHTAG],
Njoo Mama hata kama una umbo la kama karatasi au nyoka. Nakupenda baby girl.
Swali zuri.hivi kwa nini hapa bongo inakuwa hivyo mkuu
Refer Uzuri in generalWanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Swali gani sioni alama ya kuuliza au balimi zimenikolea?Swali zuri.
haina tatizo snura yupo kukushauri namna ya kufanya!
Ebu itolee maelezo kidogo mkuu, kwa nyanja zipi isije ikawa umbea



sio umbea mkuu! Mchapakaz kwny mambo ya maendeleoChukua like mkuu, nilivyoisoma hii nikahisi itakuwa imelenga jamii tofauti na hii yetu ya kitanzania. Nikaona anatoa credits kwa mtu mwingine ambae ndio inaonekana ndio muandaa makala. Hivyo yawezekana walicopy hiyo kutoka mahali wakatafsiri.Wanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?
Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.
Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.
Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.