MBITIYAZA
JF-Expert Member
- Jan 22, 2017
- 14,947
- 26,084
Tafiti zao kama za watabili wa hali ya hewa watasema mvua itanyesha halafu haipo
wale walishafel!utafit wa hali ya hewa chonganishi
Tafiti zao kama za watabili wa hali ya hewa watasema mvua itanyesha halafu haipo
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wakikusikia wewewale walishafel!utafit wa hali ya hewa chonganishi
Watu wamekaa darasani wakabobea atiwale walishafel!utafit wa hali ya hewa chonganishi
[emoji3][emoji3]tatizo lao wanajaribu kufanya majukumu ya MUNGU, maana yeye ndo anajua wapi inyeshe na wapi isinyeshe.hahahhaahhha
[emoji3][emoji3]tatizo lao wanajaribu kufanya majukumu ya MUNGU, maana yeye ndo anajua wapi inyeshe na wapi isinyeshe.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huku hawatakuona, paste kule kwenye jukwaa pendwa
Hapo kwenye "them" ndo sijaelewa ujueMimi tena nimefanya nini?
Hii lugha ilikuja na mashua hata mwenyewe sijui nilichomaanisha. [emoji4]Hapo kwenye "them" ndo sijaelewa ujue
Kwa mungu babaWao wazee matatizo yao wanapeleka wapi?
Ooooh!!!!Kwa mungu baba
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] ujue huyo hataki vingine ila anataka chura tu.Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Hapna mkuu niambie kama una sifa hizo nije kuposa?Wanaume wengi sasa hawajui wanachokitaka!
Unaweza ukawa na sifa zote hizo na wasikutake kisa huna Chura,
Hehehe mbona unasema hawajui wakitakacho halafu unasema ni kishundu! Nyie ndo mnawachanganya na vishundu vyenu
Nadhani kuna moja la muhimu sana:Mwenye hofu ya kweli ya Mungu bila kujali dini:Hii sifa inaweza kua kiungo muhimu sana za hizo sifa tajwa.Mimi binafsi ni muumini wa hii sifa! na ninaamini wote waliokutana na wanaweke wenye hii sifa watanielewa ninacho maanisha.Wanaume wa Tanzania au wanaume wa wapi?
Maana msije kukopi kwenye vijarida vya watu halafu mkatafsiri Kiswahili halafu mkawabandika wanamume wa Tanzania tabia zisizo zao bureee.
Ukianza na sababu ya kwanza tu, mwanamke mwenye msimamo ni tatizo katika jamii ya Tanzania.
Labda kama msimamo wake ni kumpenda mwanamme na kumsikiliza kwa kila kitu.
Mungu hayupo na kinachoongozwa na hofu bila uelewa ni mimba itakayozaa ujinga.Nadhani kuna moja la muhimu sana:Mwenye hofu ya kweli ya Mungu bila kujali dini:Hii sifa inaweza kua kiungo muhimu sana za hizo sifa tajwa.Mimi binafsi ni muumini wa hii sifa! na ninaamini wote waliokutana na wanaweke wenye hii sifa watanielewa ninacho maanisha.
Jaribu kuwasaka mkuu...wapoHivi hawa wapo kweli?? #
Pamoja sana mkuuSafii,hujawahi kosea mkuu