Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Aika Masawe: Jasusi la idara nyeti linaloivuruga MCL

Kwani hilo gazeti leyewe la mwananchi sio la majasusi wa kimaruhuni na maharamia?
Naona uliyeandika huu uzi ni mwandishi wa hilo gazeti ambaye kibarua chako kiko mashakani.Anyway utajijua.ANGALIA HHATA MAJINA UNAYOTAJA MENGI YA KICHAGA CHAGA TU KAMA YALE YALIYOKO CHADEMA

Mwananchi Communication inamilikiwa na kampuni ya Nation Media Group ya Kenya, hawa ni magwiji wanaoongoza East Africa, Uganda pia wana vyombo vingine vya habari mfano gazeti la Daily Monitor!
Ni kampuni iliyoanzishwa tangu miaka ya 60!
 
This is so true! ha ha ha! nawajua wote hao ambao umewa -hide! and some of them are my good friends! pale MCL ni noma ..kuanzia mlinzi wa mlangoni mmoja wapo namfahamu ana nyota 3 lakini pale anazuga mlinzi..ha ha! kwa heri!

Sema Wewe Nikisema GENTAMYCINE Naonekana Mzee Wa Fix Na Nasoza Tu. Ipo Siku Mtatambua Kuwa GENTAMYCINE Ni Jiwe La Thamani Na Adimu Ambalo Watanzania Mmeshushiwa Na Mwenyezi Mungu ILA Leo Mnalipuuza. Nina Karama Ambayo Ni Extra Ordinary Na Ndiyo Kitu Pekee Ninachojivunia Nacho. MCL Msisumbuke Kwani Tayari Mmeshakuwa Fixed Na Watu Wa IDARA Nyeti.....Poleni Sana ILA Mkome Kwa KUTUPUUZA Sisi Tunaojua Nchi Inakwendaje Na Media Zingine Mjifunze Na Mchukue Tahadhari Na Muache UPOPOMA Huu Kama Wa MCL Na Leo Wanalia Humu JF.
 
Habari hii inabidi iwe verified maana kumtuhumu mtu kutumiwa na Usalama inabidi kuwe na vielelezo, Inawezekana kabisa ni mpango wa ndani wa kampuni kuleta ufanisi na labda hakuna uhusiano wowote na kile kilichosemwa.

Mkuu wewe ni mkongwe humu .....tips kama hizi utadhibitishaje? Unaweza kuwa na vielelezo vya kudhibitisha ujasusi wa mtu? kuna vitu majasusi tu ndio wanaweza kushtukiana bila kuhitaji anything tangible .........habari kama hizi wenyewe ndio wataamua kukanusha kuwa ni hatua za kawaida za MCL au wachukue hatua kimya kimya ..........
 
JF katika ubora wake.

Halafu Una Kesi Ya Kujibu Kwangu. Hivi Muda Wote Ulikuwa Wapi? Umeniudhi Mno Kwa Kupotea Kwako Kwa Kipindi Kirefu Hiki Na Usiponijibu Haraka Na Mimi NASUSA Na Natoka Zangu Humu! Huwezi Kuniacha Swahiba Wako GENTAMYCINE Kwa Kipindi Chote Hiki Na Unajua Fika Kuwa ID Kila Niionapo Nafurahi Na Namkumbuka Nahodha Wangu Wa Mfano Na Mwenye Rekodi Yake INAYOTUKUKA Simba Sports Club Huyu Si Mwingine Bali Ni Kocha Wangu Msaidizi Suleiman Abdallah Matola ( Veron au MZAMBIA ). Nimefurahi Kuona Post Yako Mkuu!
 
Ninashukuru kwa kujua nina akili hizo. Ninachokisema hapa ni kwamba mmiliki wa gazeti asingeweza kukubali kinachoendelea na pia Managing Director ni lazima alinde interests za mmiliki. Huku kumtaja Aika kuwa anatumwa na serikali ni kitu cha ajabu kwa kuwa yeye kama meneja rasilimali watu hafanyi maamuzi peke yake, kuna mambo ambayo yanaamuliwa kwa pamoja na ofisi za Nairobi.

Ndio maana nasema uzi huu hauna budi kudhibitishwa la sivyo ni kuchafua majina ya watu pasi na sababu.

Kathibitishe UBONGO Wako Kwanza.
 
Hali siyo shwari ndani ya Kampuni ya Mwananchi Communication Ltd (MCL) ambayo inatokana na kuathiriwa kwa kiasi kikubwa kipindi hiki katika kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015 ili kuimaliza nguvu Gazeti hilo.

Mpango huu umesukwa vyema na Idara ya Ndani ya Ujajusi kwa kuwa Gazeti hili lilikuwa mwiba mkali kwa Serikali na watawala na hii ikiwa ni awamu ya pili baada ya ----------- kudhibitiwa.

Katika kutekeleza mpango huo, MCL ikimtumia Meneja Raslimali watu (HR) Aika Masawe imeanza mpango wa kuwatimua waandishi wake ambapo katika mpango huo baada ya kushtukiwa na Dennis Msaki aliamua kutimukia Mtanzania huku akibeba timu ya waandishi.

Wakati News Room ikijipanga kuziba pengo la Dennis Msaki na wengine waliotimka, Aika kwa Kushirikiana na CEO mpya Frances Nanai aliyerithi nafasi ya Tido Mhando ambaye pia aliondolewa, walianza mpango wa kupunguza wafanyakazi kwa asilimia 50 ili kujenga ufanisi wa Kampuni hiyo.

Lakini kutokana na Aika kuwa kazini alianza kutekeleza zoezi hilo kwa lengo na nia yake ya kutimua wafanyakazi wazalishaji ikiwa ni pamoja na waandishi wazuri ili kukamilisha adhma yake ya kuua kampuni.

Katika mpango huo ndipo Waandishi kama Nevile Meena waliamua kuachia ngazi na kukimbilia Tanzania Daima (huko anakuwa Managing Editor), Julius Samwel ambaye naye aliamua kuacha kazi naye anakwenda Jambo Leo (kuwa Managing editor) akiungana na Theophil Makunga ambaye pia mwananchi walimtimua kwa kisingizio cha kustaafu.

Mpango umekamilika na sasa orodha ya waandishi wengine 7 wenye nyadhifa za juu inajiandaa kuachia ngazi MCL wiki hii hatua ambayo itaiweka katika hali mbaya zaidi ya sasa.

Hivi unatetea Gazeti la Mwananchi au ajira yako? I consider this as sort of trade unionism. Akina Makunga, Msacky, Meena na wengineo tunawajua vyema kwa ukaribu wao kwa viongozi wa serikali na hata ‘uvutaji’ wao. Tuwe wakweli. Kama Mwananchi litakufa kwa kukosa waandishi siyo hatirisho (risk) ya waajiriwa wala wasomaji isipokuwa wawekezaji, yaani MCL/NMG. Let MCL clean up its house. We need quality news.
 
Hii comment ina uhusiano wowote na thread hii, au imekosea njia ikaja huku?

Halafu Huyo Memba Siku Hizi Simwelewi Elewi Sijui Keshapata Kale Kamgawo Ketu Ka Tegeta. Faizafoxy Wa Leo Amebadilika Mno. Kweli HELA Kitu Kingine ILA Ninamweshimu Sana!
 
Ufataani tu na majungu.

Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu

Fataani wewe ambaye umeshindwa kutueleza ukweli halisi ni upi kama huu ni ufataani. Tunajua unahamishia frustrations za kuzalishwa na wanaume tofauti na sasa unazeeka peke yako huku wazazi wenzio wametulia na wake zao bora. Hasira zako zimebaki kwa Nyerere na wanaokosoa serikali
 
Last edited by a moderator:
Fataani wewe ambaye umeshindwa kutueleza ukweli halisi ni upi kama huu ni ufataani. Tunajua unahamishia frustrations za kuzalishwa na wanaume tofauti na sasa unazeeka peke yako huku wazazi wenzio wametulia na wake zao bora. Hasira zako zimebaki kwa Nyerere na wanaokosoa serikali

Gozi moja watoto watano leo miaka zaidi ya 35.

Ukiona imekuuma ujuwe imekuingia.
 
Hivi unatetea Gazeti la Mwananchi au ajira yako? I consider this as sort of trade unionism. Akina Makunga, Msacky, Meena na wengineo tunawajua vyema kwa ukaribu wao kwa viongozi wa serikali na hata ‘uvutaji' wao. Tuwe wakweli. Kama Mwananchi litakufa kwa kukosa waandishi siyo hatirisho (risk) ya waajiriwa wala wasomaji isipokuwa wawekezaji, yaani MCL/NMG. Let MCL clean up its house. We need quality news.
Sikio la kufa halisikii dawa. Hivi ni dhambi kuwa karibu na viongozi wa serikali? Kama mwandishi atakuwa na chuki na viongozi wa serikali ataisaidiaje serikali katika kuwaletea watanzania maendeleo? Mambo ya kichadema chadema ya kuamini kuwa upinzani mana yake ni kuipinga serikali ni ujinga mtupu ambao hauhitaji kupewa nafasi
 
Naam, tumesikia hekaya yako, sasa unataka wana JF tufanye nini?

Hadithi njoo, uongo njoo, utam kolea.
 
Nadhani lilikuwa likiitwa Family mirror kama sikosei - pia lilitoa na kashfa ya Zanzbar kujiunga na OIC, kama kawaida serikali ikapinga - lakini wakamwaga evidence waziri Hassan Diria na Rais Mwinyi wakaumbuka.

Gazeti la kingereza ni The African hiyo The Family Mirror...lilikuwa gazeti la IPP
 
Hivi na huyu Faiza ni great thinker au great sink? Ana akili nyingi but hajawai kutumia hata moja. atakufa na akili zake kama alivyozaliwa nazo " never used".

Ikiwa hapa napo panahitaji kutumia akili? Basi naam, ntakufa nazo sijazitumia hata kiduchu.
 
Back
Top Bottom