Upande wa Rais mimi naona Hauna shida sana mana Rais ni mtu mmoja tu anayechaguliwa na kwa vypvyote ni lazima mmoja ashinde na kwa sheria na katiba ya Tanzania aliyepo madarakani anagombea akiwa na kamalaka yote. Anaweka nguvu zote za kidola kumrudisha madarakani bila kuulizwa na mtu hivyo hawezi kushindwa kamwe labda kwa uwezo wa Mungu.No, she's right. Aligombea ili ashinde, na ameshinda, kwanini akatae ushindi? Na ametoa ushauri mzuri kuwa chama kifuate utaratibu wa kudai haki katika yale maeneo yenye dosari. Zifunguliwe kesi za uchaguzi kwa kutumia ushahidi uliopo. Wakifungua kesi majimbo yote, na zikathibitishwa mahakamani, itasaidia pia kama uthibitisho wa dosari kwenye uchaguzi wa rais japo hauhojiwi mahakamani.
Ikiwa CHADEMA imemkataza kufanya hivyo.Yupo Dodoma anasubiri kuapa ili akawatumikie wananchi wa Nkasi.
Mbowe na Lema wa angekuwa wameshinda angeenda bungeni kama kawaPamoja na kuwa umechaguliwa na wananchi lakini chama ndicho kilichokutambulisha kwa wananchi, chama ndicho kilichokuteua chama ndicho kilichokudhamini, na chama ndicho kilicho kupigia kampeni, kwenda kinyume na chama ni kujiondoa mwenyewe kwenye chama.
Cecil Mwambe aliyekuwa mbunge wa Ndanda alitaka kujifanya ni mkubwa kuliko chama lkn akajikuta ameishia kuwa mbunge wa Spika, mifano ni mingi lkn uchaguzi ni wako kusuka au kunyoa. Una safari ndefu kwenye siasa kama umeamua kuwa mbunge wa mahakama endelea na harakati zako, mjumbe huwa hauawi.
Huu ni ukatili mkubwa wao ingetokea wameshinda wasingeenda?Mama hamia CCM Kama unataka ubunge. CDM hakiitaji mwakilishi. Unga juhudi mkono. Ili mkaendelee na vikao vya CCM dodoma badala ya bunge
Hiyo huku pwani tunaita GEREHuyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Uzuri wenu tanapa huwa mnaongea kwa kufuata mapigo ya makalio yenu na wala si vikao,na hata kama ni maamuzi ya vikao,Mbowe anabadili gia angani na hakuna wa kumpinga.Pamoja na kuwa umechaguliwa na wananchi lakini chama ndicho kilichokutambulisha kwa wananchi, chama ndicho kilichokuteua chama ndicho kilichokudhamini, na chama ndicho kilicho kupigia kampeni, kwenda kinyume na chama ni kujiondoa mwenyewe kwenye chama...
Huyu ndiye Kiranga niliyemfahamu wakati najiunga JF. (free thinker)Mbunge si muwakilishi wa wananchi tu.
Ni muwakilishi wa wananchi kwa tiketi ya chama.
Hivyo, leo CHADEMA kama chama wakiamua kususia bunge, na huyu Mbunge akang'ang'ania kwenda bungeni, na CHADEMA wakamvua uanachama, kisheria atakosa uwezo wa kuwakilisha hao wananchi wake.
Not that we follow the law so much in Tanzania.
Hivyo, amalize tofauti zake na wenzake wa CHADEMA ndani ya chama.
Ametoa ushauri mzuri lakini. Hata katika chaguzi zilizopita kulikuwa na dosari nyingi, na kuna majimbo ambayo upinzani ulishinda licha ya dosari hizo.Hizo ndio akili za maCCM.
Ngoja nikupe shule hapa.
Hakuna mgombea aliyegombea ili kushindwa. Hivyo hoja ya kugombea ili ushinde haina mantiki hapa...
Unasema kweli. Endelea na safari ya kuapishwa ila utapokonywa kadi ya uanachamaMimi sijahama CHADEMA na wala sitegemei kuhama, mimi ni Mbunge mteule kwa hiyo nitawatumikia Wananchi kwa imani ambayo waliniamini, labda chama changu kitakavyoamua kama itakuwa vinginevyo basi itafahamika...
Kwenye ubunge wafungue kesi tu. Kwa ujumla mahakama zimekuwa zikitenda haki katika hizi kesi za uchaguzi. Na mahakamani ndipo penye fursa ya kuweka ukweli wote hadharani, for the record. Watumie fursa hii.Upande wa Rais mimi naona Hauna shida sana mana Rais ni mtu mmoja tu anayechaguliwa na kwa vypvyote ni lazima mmoja ashinde na kwa sheria na katiba ya Tanzania aliyepo madarakani anagombea akiwa na kamalaka yote. Anaweka nguvu zote za kidola kumrudisha madarakani bila kuulizwa na mtu hivyo hawezi kushindwa kamwe labda kwa uwezo wa Mungu....
Kweli chadema kumejaa watu wa kushangaza, kwahiyo unataka nawewe huyu dada asiende bungeni?Huyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Awaulize Mbatia na Lipumba .
Aendelee na ubunge wake na afanye yote lakini kamwe asinyee kambi.
Huwezi jua mzee, jamaa wa visasi anaweza akamuona tena, siumechk shonza kwenye viti maalumHuyu nae ni wa kuhurumia tu! Ipo siku atakuja juta maana miaka 5 si mingi. Magu si mtu na hana rafiki bali anakutumia pale tu anapokuhitaji.
Awaulize Mbatia na Lipumba .
Aendelee na ubunge wake na afanye yote lakini kamwe asinyee kambi.
Kama hoja ni kutokuwa na uchaguzi huru na wa haki basi hata 2015 hakukuwa na uchaguzi huru na wa haki,lakini mbona hakukuwa na haya mambo? Miaka yote upinzani umekuwa ukishiriki chaguzi hizihizi zisizo huru na haki,cha tofauti safari hii ni hao akina Mbowe na wenzie kuguswa moja kwa moja na huu uchaguzi usio huru na haki ambao wamekuwa wakiushiriki miaka yote huku wakitambua kuwa sio uchaguzi wa haki,ila labda pengine wakati huo nafasi zao za ubunge zilikuwa hazijaguswa wakawa wanaona kawaida tu hawakuona ulazima wa kugomea matokeo kwa kuziacha nafasi zao za ubunge.Hizo ndio akili za maCCM.
Ngoja nikupe shule hapa.
Hakuna mgombea aliyegombea ili kushindwa. Hivyo hoja ya kugombea ili ushinde haina mantiki hapa. Pili kama yeye aligombea na kushinda haina maana kuwa uchaguzi katika jimbo lake ulikuwa huru na haki...
Mimi nashangaa wakati miaka yote wamekuwa wakilalamika kwa kutokuwa na uchaguzi huru na wa haki ila hatukuona hao akina Lema,Mbowe,Lissu n.k wakigoma kwenda bungeni ijapokuwa hizo chaguzi zote hazikuwa huru na haki.Kweli chadema kumejaa watu wa kushangaza, kwahiyo unataka nawewe huyu dada asiende bungeni?
Kisa Mbowe,Lema,Msigwa,Sugu,heche wamekosa ubunge? You're completely prejudice!!
Mlimteua wa nini kama hankutaka aingie bungeni?
Kwanza ubunge kapata kwa gharama na juhudi zake binafsi, kumbuka hakuna mgombea ubunge aliyesaidiwa pesa na makao makuu, wote waliambiwa wajitegemee katika kampeni.
Bunge limlinde dhidi ya udikteta na ubinafsi wa viongozi wa CHADEMA.
Kuna mahali CHADEMA waliweka hoja mufilisi kuwa ni mpenzi wa mbunge mmoja wa CCM, sasa kwani hilo ni kosa? Watu wa vyama tofauti hawaruhusiwi kuwa na mahusiano ya kimapenzi? Mbona Jesca Kishoa na Kafulila wana mahusiano au Zitto na yule mtoto wa kiongozi wa CCM ( Amina) ni wapenzi hadi kuzaa mtoto? Kwa nini iwe nongwa kwa mbunge huyo wa CHADEMA?