Tayari tunapata triangle au pembe tatu ya faulo hii ilivyosukwa, ilivyochezwa na inavyoendelea kuchezwa na serikali ya CCM kujaribu kuzima upinzani.
Na hakika Mahakama Kuu yenye majaji wake wazoefu katika fani yao watafanya kilicho haki bin haki.
Vyombo vya habari / Media nayo waombe viti vya mbele katika Mahakama Kuu ili waweze kunukuu mwenendo wote wa kesi toka pande zote za utetezi na ya mashtaka na pia jinsi majaji watavyokuwa wanatawala ukumbi wa Mahakama Kuu kuwaweka wadau wote sawa ili haki ionekane ikitendeka siyo tu mbele ya wasikilizaji walio ukumbini mahakamani bali pia kwa wafuatiliaji ambao hawapo Mahakamani.