Aibu: Watuhumiwa watatu kesi ya Mbowe wadai kuteswa na Polisi ili wakubali kuandika maelezo ya uongo

Jamaa anakuelewesha kuwa maelezo yatapokelewa tu. Jambo la msingi ni kuthiitisha kama waliteswa au la.

Yaani kuteswa na polisi hapa nchini ni jambo la kusubiri ushahidi. Kama wanapiga watu hadharani tena wasiokuwa na makosa kisa ni wapinzani, itakuwa hao walio kwenye mikono yao? Labda unaondelea polisi wa uswisi sio hawa vibaka waliorasimishwa.
 
Sio kwa Sura ya TZ ingekuwa Kenya Uhuru ungeonekana hapa unamuona jaji mkuu anatembezwa majiani kila uchao.

Wanapoapishwa watu atakuwa huru Yule
Hivi Kenya inawezekana kweli jaji mkuu kuacha kazi na kubaki kuhudhuria sherehe za uapishwaji na kutoa hotuba za kupongezana?

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
Never
 
23 August 2021
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkuu
Kisutu, Dar es Salaam
Tanzania

OLE SABAYA, IGP SIMON SIRRO KUMTETEA MBOWE MAHAKAMANI, WAKILI KIBATALA AELEZA.



SABAYA, IGP SIRRO KUMTETEA MBOWE MAHAKAMANI, WAKILI KIBATALA AELEZA... MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe na wenzake watatu wamesomewa maelezo ya mashtaka yanayowakabili leo Jumatatu, Agosti 23, 2021 ikiwemo;
Source : Global TV online
 
MEDIA HII NAFASI KWA MEDIA ZA TANZANIA KUJIBAINISHA NI MUHIMILI WA NNE, NYUMA YA MIHIMILI YA SERIKALI KUU, BUNGE NA MAHAKAMA

Kwa kuongezea kuhusu mazingira ya kesi hii ya Freeman Mbowe na wenzie. Vyombo vya habari kama Global TV online na Wasafi Media vilivyojiongeza kwa kuripoti kwa weledi mkubwa na wa kina ktk kesi inayoendelea ya Ole Sabaya basi kesi hii ya mwenyekiti wa CHADEMA ipewe uzito pia. Tazama kazi za media hizo binafsi zilivyoripoti na wanastahili kongele na ponzeni kwa kujiongeza kuripoti kesi :


Courtesy : Global TV online

Courtesy : Wasafi Media
Nitoe rai kwa vyombo vyote vyenye maslahi mapana na Kesi hii vijitayarishe kuwepo, kufuatilia na kuripoti bila chenga na kuomba wasiwekewe zuio la aina yoyote ili umma waTanzania ktk ujumla wao wapate haki ya kupata habari sahihi juu ya mwenendo mzima wa kesi toka siku ya mwanzo mpaka hitimisho lake.

Kwa kufanya hivyo kutakuwa hakuna haja ya watu kujazana Mahakama Kuu kwani watakuwa wanafuatilia toka maeneo ya maskani zao na pia vyombo vya usalama kutopata kazi kubwa wa kuwepo kwa wingi mahakama kuu kufanya kazi za ziada za kiusalama.

Rivonia Trial 1963 - 1964, the trial that changed South Africa


Shot of the Palace of Justice during a lunch recess, seen from the supporters’ point of view. Rivonia Trial. © PTA News LibrarySource: Pretoria

In the Rivonia Trial, the ‘accused’ addressed this problem by using the courts as a site of struggle. They argued that the law was drawn up without the consent of the majority; it was enforced to ensure the perpetuation of an unjust system, and therefore the struggle would be waged to establish a new system, including a legal system that would embody the values of a non-racial constitution that protected human rights.

For the accused, the courtroom became a new site of struggle. The defendants’ daily appearances in court drew large crowds that filled up the courtroom and streets outside the court. Many supporters were in violation of numerous influx control regulations, and the courts for them too, became new sites of struggle.

In presenting the prosecution’s case, Yutar claimed that the accused were all members of what he considered ‘a cabinet of the government soon after the overthrow of the state’. In this cabinet, Mandela was Deputy Minister and Minister of Defence, while Govan Mbeki was Minister of European Affairs. The rest of the accused each had a cabinet portfolio.




Often referred to as "the trial that changed South Africa,” in October 1963, ten leading opponents of apartheid went on trial for their lives on charges of sabotage.

READ MORE Rivonia Trial 1963 - 1964 | South African History Online

Nelson Mandela: The Rivonia Trial​


The story of Nelson Mandela and the other Rivonia Trialists, from the series "Have You Heard From Johannesburg."
Source : Clarity films

Mkuu asante kwa nondo za uhakika
 
Yaani kuteswa na polisi hapa nchini ni jambo la kusubiri ushahidi. Kama wanapiga watu hadharani tena wasiokuwa na makosa kisa ni wapinzani, itakuwa hao walio kwenye mikono yao? Labda unaondelea polisi wa uswisi sio hawa vibaka waliorasimishwa.
Ukweli utajulikana mahakamani.
 
Magifuli anasimulia huko alikokwenda huyu mwanamke atamfuata Mungu ndie hulipa visasi
 
Hao watuhumiwa walionekana na majeraha au viashiria vya mateso?

Kama hawana ni sawa na mbwmbwe za kawaida za watuhumiwa.
Unadhani mateso yote yanaacha alama au majeraha?unajua waterboarding ni nini?

Ukinyang'anywa hela au ukilazimishwa kusaini hundi huku umewekewa bastola,baada ya hapo utabaki na jeraha?
 
Maelezo ya Watuhumiwa waliyotoa Polisi ni moja ya vielelezo vinavyowasilishwa kati ya vielelezo 19 vilivyoahidiwa na Polisi. Hivyo hata wakikataa maelezo yao ya polisi haimaanishi ndio mwisho wa kesi. Kuna kazi ya kuonyesha vielelezo 18 vilivyobaki navyo ni invalid. TUSISHANGILIE
Ukumbuke vielelezo hivo vimetengenezwa au sukwa kulingana na maelezo yahao walioteswa

Endapo hutakua mbumbumbu ukumbuke hata mbowe alilazimishwa kuandika maelezo bila wakili au ndg ,unaweza twambia kisheria imekaaje hii
 
Maelezo ya Watuhumiwa waliyotoa Polisi ni moja ya vielelezo vinavyowasilishwa kati ya vielelezo 19 vilivyoahidiwa na Polisi. Hivyo hata wakikataa maelezo yao ya polisi haimaanishi ndio mwisho wa kesi. Kuna kazi ya kuonyesha vielelezo 18 vilivyobaki navyo ni invalid. TUSISHANGILIE
Haihitaji akili ya mtoto wa sekondari kuonyesha uongo na upuuzi wa polisi. Kesi inatupwa mapema asubuhi. Labda wabadilishe mashtaka au wajifiche kwenye kichaka cha ushahidi kutokukamilika.
 
Watanzania tunachezewa sana na watawala waliopora chaguzi kujisimika madaraka haramu. Yoote hayo ni kodi zetu na tozo. Kodi inayochukuliwa kwa uchungu inafadhili mambo ya kishenzishenzi, huku barabara hazijengwi..... CCM ni laana juu ya laana
 
Watuhumiwa hao watatu walioshitakiwa pamoja na Mbowe Wameiomba Mahakama kutoyatambua maelezo waliyoyaandika Polisi kwa vile waliyaandika kwa shinikizo la vipigo na mateso, hayakuwa maelezo ya kweli , bali waliyaandika ili wasiuawe kwa mateso .

Ombi hilo limetolewa Mahakamani na washitakiwa hao watatu , waliodai kwamba walilazimishwa kuandika maelezo ya uongo kibabe na kwa mateso makubwa mno , Polisi walitesa watuhumiwa hao kinyama ili kulazimisha kwamba walitumwa na Mbowe kufanya ugaidi kwa lengo la kuhalalisha Tuhuma dhidi ya Freeman Mbowe zilizopangwa kishamba ili kuwafurahisha watawala

Washitakiwa hao wamedai kwamba ili kujinusuru na mateso makubwa ya kinyama na ya kudhalilisha walipokuwa mikononi mwa Polisi , walilazimika kuandika MAELEZO YA UONGO WALIYOYATAKA POLISI ili kuokoa uhai wao
Duh!
Hao polisi na wanaowatuma ni hatari sana
 
Back
Top Bottom