Ni hivi, baada ya kukataa kuandika maelezo kuhusu Uchochezi kwenye kituo cha Polisi ilibidi adhaminiwe maana Uchochezi una dhamana

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,789
218,427
Screenshot_2023-08-14-15-45-25-1.jpg

Kwa Mujibu wa Wakili wa Dkt. Slaa , Dickson Matata ni kwamba, Dkt. Slaa alikamatwa kwa tuhuma za uchochezi na hata kwenye hati ya mashitaka ya Polisi iliandikwa hivyo. Sasa baada ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa na kurejeshwa kituoni , Polisi wakamtaka aandike maelezo kuhusu uchochezi wake. Dkt. Slaa alikataa kuandika maelezo hayo na kuahidi kutoa maelezo yake mbele ya Mahakama (sheria za Tanzania zinaruhusu jambo hili).

Kosa la Uchochezi linadhaminika, inadaiwa baada ya wakili wake kuanza utaratibu wa kushughulikia dhaman Mkuu wa kituo cha polisi Oysterbay akafanya mawasiliano na Polisi Makao Makuu. Inadaiwa baada ya mawasiliano hayo ndipo ikaamriwa Kuliko apewe dhamani ni heri abadilishiwe mashtaka na kupewa kosa la Uhaini ambalo halina dhamana (hapa bila shaka Polisi hawakujipanga) basi ile hati ya Uchochezi ikachanwa na kuandikwa mpya ya Uhaini ambayo haina dhamana ili kumkomesha.
 
View attachment 2717188

Kwa Mujibu wa Wakili wa Dr Slaa , Dickson Matata ni kwamba , Dr Slaa alikamatwa kwa tuhuma za uchochezi , na hata kwenye hati ya mashitaka ya Polisi iliandikwa hivyo , sasa baada ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa na kurejeshwa kituoni , Polisi wakamtaka aandike maelezo kuhusu uchochezi wake , Dr Slaa alikataa kuandika maelezo hayo na kuahidi kutoa maelezo yake mbele ya Mahakama (sheria za Tanzania zinaruhusu jambo hili).

Kosa la Uchochezi linadhaminika , baada ya wakili wake kuanza utaratibu wa kushughulikia dhamana ya Dr , Mkuu wa kituo cha polisi Oysterbay akafanya mawasiliano na Polisi Makao Makuu , baada ya mawasiliano hayo , ndipo ikaamriwa Kuliko apewe dhamani ni heri abadilishiwe mashtaka na kupewa kosa la Uhaini ambalo halina dhamana (hapa bila shaka Polisi hawakujipanga) basi ile hati ya Uchochezi ikachanwa na kuandikwa mpya ya Uhaini ambayo haina dhamana ili kumkomesha .
Sawasawa kamanda mkuu
 
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee.
Polisi wanahitaji kuombewa ili wajue nini wanafanya
 
Yoshua Bin Sira 25:16-17 inasema:
"Afadhali kuishi na simba na nyoka kuliko kuishi na mwanamke mwovu. Uovu wa mwanamke humbadilisha sura, uso wake ukawa kama uso wa dubu."
 
View attachment 2717188

Kwa Mujibu wa Wakili wa Dr Slaa , Dickson Matata ni kwamba , Dr Slaa alikamatwa kwa tuhuma za uchochezi , na hata kwenye hati ya mashitaka ya Polisi iliandikwa hivyo , sasa baada ya kupelekwa nyumbani kwake kupekuliwa na kurejeshwa kituoni , Polisi wakamtaka aandike maelezo kuhusu uchochezi wake , Dr Slaa alikataa kuandika maelezo hayo na kuahidi kutoa maelezo yake mbele ya Mahakama (sheria za Tanzania zinaruhusu jambo hili).

Kosa la Uchochezi linadhaminika , baada ya wakili wake kuanza utaratibu wa kushughulikia dhamana ya Dr , Mkuu wa kituo cha polisi Oysterbay akafanya mawasiliano na Polisi Makao Makuu , baada ya mawasiliano hayo , ndipo ikaamriwa Kuliko apewe dhamani ni heri abadilishiwe mashtaka na kupewa kosa la Uhaini ambalo halina dhamana (hapa bila shaka Polisi hawakujipanga) basi ile hati ya Uchochezi ikachanwa na kuandikwa mpya ya Uhaini ambayo haina dhamana ili kumkomesha .
Twende tu mtashangaa Mungu sio mwanadamu
 
Nimejikuta nmecheka tu.So waliamua kubadili uhalisia kuwa Uongo ndani ya Selo tunayohisi ndipo penye usalama ,au sijaelewa ?Nacheka tu mimi hapa.
 
Back
Top Bottom