...wewe unadhani CHADEMA wamesema yote? wamembeep tu Zitto, bado hajaumbuliwa kisawasawa - hata yeye anajua.Eti wanadai ule waraka alioukiri Kitila ni feki! Na kwamba baada ya kikao kijacho wakilazimika kuutoa ule orijino watafanya hivyo!
My take: chadema mtamfanya Zito aseme ambayo hakutaka kuyasema!itakula kwenu!