Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Eti uchaguzi wa
Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme
nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua?
Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme
nini?

Wapiga kura ndio hao unowaita kigango. kwa taarifa ni kwamba na 58 inawakilisha watu wasiopungua elfu 4
 
Kitendo cha kuleta habari za kingano na kuzihusisha na siasa za Chadema ni udini.
 
Ukisikia udini ndio huu.

Udini kwa nani sasa?Wanaoenda jenga base ktk nyumba za ibada aua wanaowashangaa walichemsha ktk nyumba za ibada.CCM ndio wapo busy ktk nyumba za ibada usiku na mchana.SI maaskofu si masheikh wanalalamika kwa fujoa zilizowaigilia.
 
Maana yake
huyo Meya wenu wa Kichina hana Ushawishi tena... Hata Udiwani hatapata
tena..

Ni hivi pia, Gaudence Lyimo alipata Udiwani baada ya kupata uongozi wa kanisa, ambao ulimjengea heshima. kumbuka pia matamko ya maaskofu na mashehe siku ya kuaga miili ya watu waliofariki baada ya maandamano Arusho ambapo walimkataa. sasa unategemea nini
 
Udini kwa nani sasa?Wanaoenda jenga base ktk nyumba za ibada aua wanaowashangaa walichemsha ktk nyumba za ibada.CCM ndio wapo busy ktk nyumba za ibada usiku na mchana.SI maaskofu si masheikh wanalalamika kwa fujoa zilizowaigilia.

Kwani tumesahau ya Sumbawanga? na huko ndio yale yale tu.
 
Kwa ujumla Lyimo amechokwa sio kidogo ni mnooooooooooo
58 kwa 0
260 kwa 1
What fun it is!
Mkuu Mungi asante sana kwa taarifa
Ukombozi umekaribia
 
Na Uchaga pia kwa sana. Ama unafikiri Lyimo ni Mmasai?

kwanini uchaga wake usimsaidie ,tena katoka chama tawala.Ila kwa fikra zenu mkadhani umemsaidia Lema aisye chama tawala?hapo ndio mnaumbuka kuwa factor ni CDM na si uchaga..by the way hakuna vitu kumi unaweza simamisha arusha pasiwe na mchaga.Hata vikao vya kiarusha wapo waarusha wachaga walionunua ukoo kwa mujibu wa mila ndio wanaoongoza,wapo wenye damu zakichaga nao imetokea kuwa ndio viongozi..


Hata Mrema km CDm haikuwepo angekuwa mbunge hadi achoke pamoja na kwamba waarusha wanaumia sana roho ila ktk kura mikono inaelekea kwa mchaga.Kwa ujumla ni ngumu sana kutengenahisha Arusha na wachaga.mwenye chuki atafanya kazi ya kubwa ya kumpeleka hatua 1 ,wachaga watafanya kazi rahisi sana kwenda hatua thelathini zaidi.

Si miaka mingi niliwahi sikia wadada w akiarusha wakisifiana kwa kumpata mchaga.
 
inabidi akae chini ya uangalizi maalum anaeza kujidhuru au kujinyonga
 
Akili za Bavicha utazijua tu.

Thamini nchi yako mbulula wewe acha kutumika katika kuisaliti nchi yako kwa ujira wa buku 7 tu wakati wenzio wanakwapua matrilioni.
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

Hahaha hahaha hahaha hahaha hamy d pole sana, vipi mwigulu anaendeleaje? Leo vipi huna post ya kumchafua dr.slaa? Au ya kuichafua chadema?
 
Hizo fomesheni nyingine kwakweli ni utata mtupu.
Kwanza wakammuwekea 260-1 kama haitoshi leo kapangiwa 58-0, hapana cheza na damu ya mtu hata mara moja.
 
Back
Top Bottom