Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Kwani tumesahau ya Sumbawanga? na huko ndio yale yale tu.

Kwaini umechagua Foxy?na si bint makhata?...Huyo jamaa alijua kabisa kuwa ni kiongozi wa kisiasa na makundi mengine ya jamii halafu akaenda tena kanisani kutafuta uongozi mwingine ni wazi ,anayo shida.Ni kawaid aya CCM.


Sumbawanga wanayo shida..ni mikoa yenye makabila ambayo ni ngumu sana kuwapa kuwasaidia wawe dini moja angalau kwa kiasi kinachozdi asilimia 40% wale watu siwezi shangaa kumkuta mganga ana dini, ya asili, ya kigeni na anatembea na mke watu au mume wa mtu, na wanatishiana kuuana.Ni yale makabila ukiwatuma Kilimanjaro wakawamalize wachaga wanakwenda olewa huko na kuanza kana kwao , wakitekenywa kidogo wanasema walichotumwa na kwanini wameona ni ujinga na wamependa sana maisha ya wenyeji.
 
kwanini uchaga wake usimsaidie ,tena katoka chama tawala.Ila kwa fikra zenu mkadhani umemsaidia Lema aisye chama tawala?hapo ndio mnaumbuka kuwa factor ni CDM na si uchaga..by the way hakuna vitu kumi unaweza simamisha arusha pasiwe na mchaga.Hata vikao vya kiarusha wapo waarusha wachaga walionunua ukoo kwa mujibu wa mila ndio wanaoongoza,wapo wenye damu zakichaga nao imetokea kuwa ndio viongozi..


Hata Mrema km CDm haikuwepo angekuwa mbunge hadi achoke pamoja na kwamba waarusha wanaumia sana roho ila ktk kura mikono inaelekea kwa mchaga.Kwa ujumla ni ngumu sana kutengenahisha Arusha na wachaga.mwenye chuki atafanya kazi ya kubwa ya kumpeleka hatua 1 ,wachaga watafanya kazi rahisi sana kwenda hatua thelathini zaidi.

Si miaka mingi niliwahi sikia wadada w akiarusha wakisifiana kwa kumpata mchaga.

Nimeona huyo mama wa kibarazani anashadadia udini lakini wanasahau kuwa CDM inarushiwa kila aina ya shutuma ikiwemo ukabila, udini, ukanda na kila aina ya ghasia ilimradi kwao linaongeleka ama wanaweza kuliandika.
 
Mkiambiwa CHADEMA chama cha kikiristo mnakuja juu na kufoka hadi kutoa mapovu sasa habari za kanisani unaleta hapa JF kwa faida ya nani??????
 
Nimeona huyo mama wa kibarazani anashadadia udini lakini wanasahau kuwa CDM inarushiwa kila aina ya shutuma ikiwemo ukabila, udini, ukanda na kila aina ya ghasia ilimradi kwao linaongeleka ama wanaweza kuliandika.

Haha...huyu mama hana shida ..Akipata mutu ya kumwambia neno la kiume.Mama atakuawa jasiri sana, na haraka sana ataipiga ban baadhi ya misamiati ya ponda.
 
Na bado. ni lazima a-paralize kama yule jaji Rwakibarila aliyetoa hukumu feki kwa maagizo ya CCM.

Habari ya mujini nimetonywa na jamaa yangu ni kwamba jamaa kapoteza sana kazi ktk kampuni yake ya ujenzi..Alikuwa na uhuru wa kukata rushw na kufanya kazi tofauti na sasa.Alitegemea kuwa kuwa meya angekua akichukua miradi kirahisi sana.Sasa km amechukua na kugawana na CCM CDM wameshafika kimaajabu palipo na meza na km kuna kamaradi ka kuchukua hela tuu amabcho ameshachukua na kugawana na wengine yeye ndie atalipa aua auakbidhi mradi.Na mradi umeshakuwa liability.
 
Mkiambiwa Chadema chama cha kikiristo mnakuja juu na kufoka hadi kutoa mapovu sasa habari za kanisani unaleta hapa JF kwa faida ya nani??????

Sasa kwani wo ndio walimpeleka kanisani?Au ndio mara yake ya kwanza kwenda kanisani ?Sasa habari ya meya na vtuko si popote ni habari.Kwani hata kama angepigwa buti na baamedi si ingesemwa.Au ungelaumu watu kuwa walevi na hivyo hawastahili report habari ya bar?Meya kakosa adabu kwenda kanisanai kujenga misingi ya siasa.Hiyo tuu ni habari achilia mbali aiabu aliyopewa na waumini.
 
Nikisema CHADEMA wanatumia dawa za kulevya mnanitishia ban.
Sasa Mods nadhani umejionea sembe inavyofanya kazi kupitia huyu Mungi.
 
Hii inadhihirisha kuwa Gaudence Lyimo amechokwa na wananchi, siyo kanisani, msikitini na kwa jamii yote

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Huyo angekuwa anaishi Mtwara na nyumba yake watu wangekuwa wameichoka na hivyo kuamua kuichoma moto.Watanzania wamechoka kuongozwa na watu wasio itakia mema AMANI YA NCHI YAO.Gaudence lyimo ashinwe na alegee.
 
Kitendo cha kuleta habari za kingano na kuzihusisha na siasa za Chadema ni udini.

Mkuu mbona unakuwa na kichwa cha mwanaasha? CHADEMA imeingiaje hapa?
 
Tupilia mbali magamba. sisi tunataka mtu kipenzi cha watu ambaye hatumiki kisiasa kama kondom.

akili za bambucha samahani bavicha kweli mbovu madiwani wanamkubali nyinyi mnapiga kelele kweli chadomo ni sawa na punda ukipiga wa nyuma wambele anapiga mayoe
 
Waliomkataa ni kikundi kinachowakilisha familia zaidi ya 50.Uliza ni namna gani uchaguzi huu huwa unafanywa,siyo namna unayofikiria.Hao watu 58 ni viongozi waliochaguliwa kwenye mitaa ya kanisa husika.Kwa mantiki hiyo ni rahisi sana kwa mama huyo kutopata huo Udiwani tena.

pamoja na wachungaji na masista
 
Kinachomponza Lyimo ni kukataa siasa za kikanda kama ndg zake wanavyotaka sasa wameamua kumkomoa. Hivyo hili si swala dini au kiimani ni siasa chafu, sasa zimeingia mpaka kanisani mungu tuepushe na balaa hili
 
Sasa huyu Nicas Lila yeye yupo CHADEMA?Mambo ya kanisa na dini wapi na wapi? Nitaendelea kuchallenge post zotee zenye harufu ya udini. nyie wa dizaini hii ndo mtachelewesha ukombozi wa nchi hiii
 
Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?
Hahahahaaaaaa.Linamhusu meya(mwanasiasa) na linagusa mustakabali wake wa kisiasa my swty Radhia.
 
Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?



Hujalazimishwa kuandika. Huna la kuandika fyata mkia
 
Tafadhali masuala ya imani ya mtu pelekeni kwa baba paroko. Si sahihi suala hili kulianzishia thread
 
Back
Top Bottom