Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?
Wewe hiyo shule uliyoenda imekusaidia nini? mbona umeangukia mikononi mwa Wasira wakati ni mtoto mdogo
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

Kama wakíkukataa watu unaosali nao na kuwaongoza unategemea nini!?? Hatukatai ni chungu ila ndo dawa.
 
matajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.
Mnazidi kuthibitisha cdm na kanisa damdam.
Na bado, wenyewe mtayasema yote, mpaka mloyapanga chumbani.
Anguko linakuja, mtamalizana wenyewe kwa wenyewe.
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

58 ni wawakilishi wa mamia ya wananchi, je waliomchagua kuwa meya hivi walikuwa wangapi vile mama??!!!
 
Amekataliwa na 260 kwanza, baadaye wawakilishi wengine 57 ambao nahisi kila mtu anawakilisha wengine 260 wamemkataa; in total 260*57 =¿¿¿¿¿
 
Gaudence ni Mwanaume au Gaudencia? Duh huyu at the end atajinyonga tu sio bure
 
Aliomba kugombea au alipendekezwa? Katika kujieleza alielekea kukubali hicho cheo au alijieleza kwa kujitetea ili asichaguliwe? Tunakwenda mbali sana......
 
Hakuwepo hata mkewe kumpigia kura?

Mkewe alichagua upande wenye upepo kwa maana "NI HERI YA KUSEMA ALIKOSA HATA KURA YA MKEWE, KULIKO KUSEMA ALIAMBULIA KURA YA MKEWE"
 
Mkiambiwa Chadema chama cha kikiristo mnakuja juu na kufoka hadi kutoa mapovu sasa habari za kanisani unaleta hapa JF kwa faida ya nani??????

Gaudence Lyimo ni Diwani na Meya wa kichina kupitia ccm. Uchadema umeingiaje hapa?
 
Nisipo shukuru sitaeleweka kwa hili
Nilikata ticketi ya kwenda Mbeya from Dar tarehe 27 Jumamosi July 2013 ili 28th July 2015 nikielekea Mbeya kwa gari ya New Force, nilikata tiketi ya kwangu mimi na watu wengine watatu hao watu walitakiwa kupandia Morogoro
Basi lilipo fika Morogoro saa tatu hili likawa limejaa na agent wao akajifanya kuwa mkali kinoma, tulipanda kwenye hilo basi number T 222CLU na kusafiri nalo kama km 20 kuna mahala mabasi yanashusha kuchimba dawa pamoja na kula nyama choma, tukashushwa eti tusubiri basi la nyuma yake, sabavu tuliyopewa ni kuwa walikosea kukata tiketi. Konda akatuacha hapo akasepa
Tulipo kaa masaa mawili tukaamua kuwapigia viongozi wa hiyo kampini na walicho kifanya ni hiki, "ukijieleza kwenye simu ukamaliza jamaa anakwambia hajaelewa na urudie tena" tukakata tamaa, nikaamua kumpigia askari usalama barabarani nikamweleza akaniambia imekula kwangu.
Nikamamua kumpigia Mwamedi Mpinga kwa namba alizotutangazia through matangazo ya TZ, akapokea mkuu akatusikiliza akaniuliza unahuakuka nikamwambia ndio
Ndugu zangu kilicho fuata basi lilizuiliwa Iringa, Konda akakamatwa Na nauli zetu zikarudishwa tukapanda usafiri mwingine
THANK YOU KAMANDA MPINGA "MUNGU WANGU AKUBARIKI NA KUKULINDA" Thanks Kwamara yakwanza nimepata msaada polisi
 
Mungi,
Kuchanganya Siasa na mambo ya Dini siyo sahihi..
Ya Kanisani tuyajadili kwa muktadha wa Kikanisa, Ya siasa tuyajadili kwa muktadha wa Kisiasa..
Ili kuepusha usumbufu unaoweza kujitokeza huko mbeleni pindi pande hizi mbili zitakapo-clash....
Mtazamo wangu.
 
Back
Top Bottom