Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Kwani akitokomea ivyo kanisani harudi tena? au ndo ameasi kushiriki na menzake katika ujenzi wa kigango? make naona kama anategwa na jamii vile!
 
Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?

haha radhia usichukulie kimzaha namna hiyo..Pengine hujaangalia idadi ya watu wa imani yake eneo alilogombea..arusha kuna maneo makanisa bado si mengi na hivyo kanisa moja kuhudumia watu wengi sana..Hii inatosha kabisa kuwa influence hadi nje ya uwanja.Mahali penye waumini wengi ambao nao ni wapiga kura wako engi unaweza chezesha kibuyu ukahamisha mapenzi.Demu uliyewahi wahi chat naye office na kumshirikisha andaa function ya office unaweza kaa naye meza moja km si siti moja ktk safari.

Ndio maana sehemu ambazo kuna waislam au dini fulani moja...kiongozi wa hiyo dini km anaheshimika na rais wa nchi ni muumini wake kuna uwezekano huyo kiongozi wa dini akaongoza nchi indirectly.
 
Hii inahusiana vipi na circular politics?

Muulize JK msikiti ulihusika vipi na ushindi wake?Watu hujenga mhusiano makubwa kunazia ktk club nyingi sana..unabisha kajiunge na club hata kama ni golf halfu wewe ukawa choka mbaya ukipita tuu vigezo, unaweza jikuta ukikaimu na malinzi...au hata JK km atakuwa naye ni member.

Ktk jumuia hizi kuna mahusiano mengi sana ya kuwa karibu na watu ambao haohao unaweza wageuza wapiga kura aua wapiga kampeni, tena hata bila wao kujijua....km walishiriki sherhe kwako, jumuia kwao na kwako, misiba etc ..nadhani unaelewa.Kanisa aanlolisema jamaa lina watu wengi sana wanaopiga kura ktk kata yake.Na ndio njia nyingine ya kuwajua viongozi wa parokia nyingine....na katika salamu akachomekea ..nao bila kujijua wakajikuta wanakua wadhamini bila kjijua just kw akusema wanamjua vyema huyo jamaa.

Ukitaka jua power ya recommendation hata ya indirect....mwambie dadako mshkaji wako nir afiki yao sana na unamjua sana..halfu ufuatilie miendendo ya dada rafiki yako akija kwenu.
 
Na hao ni viongozi tu ambao wamewakilisha walio wengi. Mbaya zaidi kuna viongozi ambao ni ndugu zake nao wamemkataa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Inasikitisha sana.....Yani mtu mpaka unakataliwa Kanisani, sijui wapi watakukubali...
 
Wapiga kura 56
Wagombea 2
Jumla 58

???? hata yeye mwenyewe kashindwa jipigia?
 
Hii ni aibu kubwa kwa mtu anayejinasibu kuwa kipenzi cha watu kupata kura 0, anatakiwa kutubu dhambi zake ili akubalike mbele ya waumini.
 
Aibu kubwa kwa limo.hapo inadhihirika wazi kuwa udini upo ccm ndani ya serikali ya kikwete.na waumini wamekataa kufungiwa udini tena na watu kama hawa. Wewe ni meya bado unajipendekeza kwenye dini,muda wote kwann hakujiuzulu kwenye maswala ya udini? Sio sahihi kuwa kiongoz wa serikali tena ngaz kubwa tena ulieuwa watu,na umeya wenyewe wa kukiuka kanuni,halafu et Mungu akupe uongozi wa watu wake? Lymo hii ni aibu kuwa hata Mungu amekukataaa. Hata umeya upo tu kwa kuwa upo. Mi nadhan kila utakakopita watakuwa wakiimba sifuri! Sifuri! Sifuri! Pole mh ila usikate tamaa kwan hata umeya utaachia
 
Daaaah waarusha wakiamua hawarudi nyuma kabisa. Ni somo tosha kwake kwamba hata kama una kila kitu lakini kama hupendwi na wananchi nia aibu.

Yani wakiamua kufunga wanafunga kila mahali....Ipo siku na mkewe atamkana..
 
haha radhia usichukulie kimzaha namna hiyo..Pengine hujaangalia idadi ya watu wa imani yake eneo alilogombea..arusha kuna maneo makanisa bado si mengi na hivyo kanisa moja kuhudumia watu wengi sana..Hii inatosha kabisa kuwa influence hadi nje ya uwanja.Mahali penye waumini wengi ambao nao ni wapiga kura wako engi unaweza chezesha kibuyu ukahamisha mapenzi.Demu uliyewahi wahi chat naye office na kumshirikisha andaa function ya office unaweza kaa naye meza moja km si siti moja ktk safari.

Ndio maana sehemu ambazo kuna waislam au dini fulani moja...kiongozi wa hiyo dini km anaheshimika na rais wa nchi ni muumini wake kuna uwezekano huyo kiongozi wa dini akaongoza nchi indirectly.

Mkuu unapoteza muda kumjibu kichaa kwa busara yote hiyo....Huyo ni punguani bhaaaas...
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

kama hujui jambo ni bora kuuliza kuliko kuropoka kama Pinda au JK! Hao 58 ni viongozi wanao wakilisha vigango mbali mbali vyao hiyo parokia so nyuma yao kuna maelfu ya watu
 
Back
Top Bottom