Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Alipogundua mgombea mwenzake kwenye uenyekiti wa parokia ni yule yule aliyempiga chini kwenye kigango ikabidi atokomee haraka...


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

I can't Imagine kama kanisani na amani yote hawamtaki anakubalika wapi!
 
I can't Imagine kama kanisani na amani yote hawamtaki anakubalika wapi!

Na hao ni viongozi tu ambao wamewakilisha walio wengi. Mbaya zaidi kuna viongozi ambao ni ndugu zake nao wamemkataa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?

Heey ooh!!Wake up you have to understand kwa nini kaweka hapa kwa jukwaa la siasa napenda kukupa akiba ya maneno ni kwamba Meya Meya ile tu kutamka Meya lazima uweke habari zake hapa kwa kuwa ni kiongozi wa siasa japokuwa issue ilikuwa ya kikanisa lakini Mungi kaleta ujumbe wa maana sana kuonyesha au kuwaelezea wapenda haki na wafuatiliaji wa sheria kuwa hajapata hata kura moja mean hata yeye mwenyewe alijishtukia kujipigia maake anafahamu kuwa ni feki kila kona na ndio maana ya kuchokwa.Acha mambo ya ajabu naona umeweka ati Paul Kagame kuhutubia Taifa tena umeweka kimipasho hivi wewe ukiachilia ushabiki wa kinjaa kati ya Paul Kagame na Jakaya Kikwete who is best??Tupia basi naani wauza unga wa Bongo na nani waliuza Twiga,Swala nk nje ya nchi,nani wanaua Tembo tukomae na mambo ya muhimu hila la Paul Kagame mwacheni Kikwete maake yeye ndio kalikologa na si jambo la kitaifa kama mnavyolichukulia.
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

Hata angekuwa mmoja tayari ni mwananchi..
 
Lyimo is just cursing himself na siasa chafu za ccm na chadema...

huyo jamaa hafai hata kwa service
 
Eti uchaguzi wa Kigango! Halafu mtu analeta hiyo habari kwenye jukwaa la siasa. Niseme nini juu ya uelewa wa mtu kama huyu? Hajaenda shule? Akili zimepungua? Alipata ajali ya kichwa? Au aliugua degedege utotoni? Niseme nini?
Ujumbe tosha sana... ukiona hukubaliki hata kwa waliokuzunguka kwenye nyumba chache, tena kwenye imani ujue huna maana

Ni kama imaam wa msikiti ashindwe hata kukubalika kuongoza kamati ndogo kama za fundraising au kusaidia watoto kuhifadhi Quran takatifu
 
too sad kwa Meya Lyimo, ina maana hakujipigia kura?
 
Sijibizani na misukule, kidogo babu yako Slaa anaweza kujenga hoja na mimi ila sio wewe.

Hii inaitwa hivi, "naongea na mganga siongei na ndondocha".

Kwa pumba kama hizi nina wasiwasi na wewe huenda umeiba mitihani ndio maana huna hata hoja jibu nilichokuuliza una umri gani then twende NeXT Chapter.Kuhusu kujenga hoja hoja ni kweli siwezi kujibizana na wewe maake ni pumba tupu huenda wewe saizi yaako ni mtoto wa darasa la tatu huyo ndio atakuwa saizi yako pia huenda akakubwaga chini maake upo kinjaa zaidi,Hivi Samuel Sitta ana umri gani na baba yako ni babu au umemzidi umri.Maake Mijigamba Kwa pumba mnaongoza kila kitu ati babu Slaa teh teh teh aisee Dr Slaa wa ukweli kawashika pabaya sana tuu naa bado hamchomoki kwanza ushavuta au bado i mean buku 7!!!!
 
Na bado kama yuda vile,mwisho wake ni kujinyonga tu,ni vema akafanya kitubio!
 
Mambo ya Kanisa yanaingiaje na CHADEMA.

Mods huu uzi ni wasiasa?
 
Mungi,

Kuna uhusiano wowote kati ya Kigango cha Kanisa na CHADEMA.
 
Mungi,

Kuna uhusiano wowote kati ya Kigango cha Kanisa na Chadema.

Mkuu ishu ya msingi siyo ukanisa au uchadema. Hakuna mahali chadema imetajwa kwenye post yangu.

Ishu kubwa ya msingi ni Gaudence Lyimo ambaye ni diwani wa ccm olorieni na mwenyekiti wa zamani wa parokia na kigango cha kijenge alivyoangukia pua. Haijatokea katika historia mwenyekiti wa zamani kupata sifuri au hata kukosa kura moja.

Kumbuka kabla ya uchaguzi 2010 huyu huyu Gaudence alichaguliwa hapa kuwa mwenyekiti. Watu hao hao wamemkataa.
Gaudence Lyimo amekalia kiti cha damu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Daaaah waarusha wakiamua hawarudi nyuma kabisa. Ni somo tosha kwake kwamba hata kama una kila kitu lakini kama hupendwi na wananchi nia aibu.
 
Back
Top Bottom