Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Aibu: Meya Gaudence Lyimo apata kura 0

Wakuu jana nilishiriki mkutano wa chadema wa kuimarisha chama kata ya meya wa kichina. Kiukweli huyu jamaa amebakia kuhama nyumbani kwake kwani hakuna mtu anata kumuona, na rafiki yake mmoja wa karibu sana ametuhakikishia kuwa amesema anahama na hata gombea tena udiwani!!
 
ananuka damu, asanteni sana wana parokia husika kwakumuangush huyo fisadi wa roho za watu
 
Amechokwa na wananchi amechokwa na hicho kikundi cha watu 58?

Inasikitisha kuona kuwa mtu huwezi kuwa mwana CHADEMA mpaka uwe mzandiki kama huyu Mungi.

Sasa huu uchaguzi unadhani unaweza kuthibitisha kuwa meya Lymo amechokwa?

BTW, sidhani kama taarifa yako ina tija kwa maana madiwani wenu wote wameridhia kufanya nae kazi kama meya wa jiji la Arusha.

Halafu wewe ulinisababishia BAN
 
Mtumzima🙂Wapi siasa na kanisa?Hivi nashangaa Tangu lini huyu Mayor kalipua watu au kuwamwagia Tindikari Hadi Anuke Damu?Angalia mchangiaji ushabiki wako wa kuhongwa Viroba Usikughalimu mbele za Mungu,ongea kitu cha kweli.
 
Mtumzima🙂Wapi siasa na kanisa?Hivi nashangaa Tangu lini huyu Mayor kalipua watu au kuwamwagia Tindikari Hadi Anuke Damu?Angalia mchangiaji ushabiki wako wa kuhongwa Viroba Usikughalimu mbele za Mungu,ongea kitu cha kweli.

Ficha Upumbavu wako!!
Gaudence Lyimo amemwaga damu za watu wa Arusha

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Jiulize kama siyo ushabiki Mtu atapataje kura 0?Angepata kurta 1 au kuwamwagia2 au kuwamwagia10 hapo ungesema kakosa kura,Hakutaka kuchaguliwa kwa Vile Kawaida ukifanya uongozi kanisa katoliki awamu 3,Unastaafu Labda upende kuendelea mi kama mpiga kura nilielewa hata siku hiyo,Hakuja,jinsi alivyo na Hekima mnyenyekevu asiyependa malumbano,kama angekuja tungemchagua tu,pollen mliotumwa kwani mungeaibika,shukuruni tu,Hakuja.
 
-------- .ni wewe usiyeweza kuwa hata balozi wa mtaa jitundike damu umemwaga wewe na wakurude wenzako,mwache baba wa watu,Kama limekukela kanywe viroba ulale,Mbona unachanganya kanisa na siasa,hujui utendalo!kama Huna story nyamaza!Subiri wewe ugombee upate kura tukuone!
 
We nafikiri umeshiba viroba vya kutosha ufahamu wako hautoshi,Tena unalilia mayor wanini kanisa?Nakupa pole fisadi mkubwa wa Majungu Hadi kanisani?
 
Kwa taarifa yake tu huyu bwana Gaudensia Lyimo asithubutu kabisa kuchokoza wananchi 2015!!!! Cha msingi wakuu, kinachotakiwa ni kuwa na makamanda imara kila mkoa ili vuguvugu la Arusha lienee nchi nzima. Natamani ule mkoa wangu wangekuwepo makamanda imara kila ngazi ili 2015 tumng'oe mkoloni na mizizi yake yote.
 
ananuka damu, asanteni sana wana parokia husika kwakumuangush huyo fisadi wa roho za watu
by munguatosha🙂mwenye kumwaga Damu anajulikana hata wewe unamjua Hivyo,hizo ni siasa tu,Kelele .za chura hazimzuii .ng'ombe kunywa maji .
 
Anakimbilia ikulu kwa Rushwa ni Anayechanganya siasa na Kanisa Hivi,Mayor na Kanisa wapi na wapi ?Pigeni kelele sana lakini,kwa habari .za mbali mayor asipogombea uongozi wa chama siyo kuogopa mtu ,ila uongozi ni kupokezana kijiti ,umeongoza miaka 10 unatoa nafasi kwa mwingine.Siyo kugeuza uongozi kuwa kama urithi .Mwisho wa yote aliyefanya vema ataonekana tu!Kelele .za nini,Kanisa Iacheni kama ilivyo na siasa Rudisheni mahali pake .
 
by munguatosha🙂mwenye kumwaga Damu anajulikana hata wewe unamjua Hivyo,hizo ni siasa tu,Kelele .za chura hazimzuii .ng'ombe kunywa maji .

ameitumia siasa yeye na mkuu wa mkoa kuua raia wasio na hatia, damu ya watu wale itamzunguka kila anapoenda na itampa nuksi na bahati mbaya za kila namna
 
Back
Top Bottom