Aibu kubwa

Aibu kubwa

Hii ndo tz bwana.
Sasa hapo ulichoshangaa ni kipi???
Mi naona bonge la dili.
Yaani huyo kijana ana akili sana.
Mi mmoja nlimshuhudia ponara indiraghandi street ananunuliwa bonge la mcheni white gold na wa haja na bonge la kidani mama zikamtoka kama dola 1000 mi kuzihesabu sana noma
Mi na yule mkaka tukapeana ishara tukacheka ... Hao wakaondoka zao.
Baada ya kijana kuchagua.
Hio ndo inavyotakiwa siyo apoteze nguvu zake za bure.
We unamshangaa mwenzako anaendesha familia anategemewa.
Ha ha shikamoo mamayeyoo

Ha ha ha. binti wewe mcharuko..hujatulia
 
Last edited by a moderator:

White Gold (platinum) is everything...............ask my brother Ngcongca or Bongani a.k.a. Bongi from Umtata. He will tell you of Marikana story....of platinum.
 
Jana mchana wa saa 8 hivi niliona kituko na nikahisi aibu sana. Nilikuwa ndani ya posta ya Meru(Arusha) kwenye foleni ya dirisha la Western Union. Watu walikuwa wengi wakisubiri kuhudumiwa na wengi tulisimama kwani viti ni vichache. Nilipochoka kusimama nikatupa macho sehemu kwenye viti kama kuna upenyo nikae. Lahaula! Nilimwona kijana wa kiume wa Kiarika mwenye umri kati ya miaka 20-25 akiwa ameketi na mama mzee wa kizungu asiyepungua miaka 60. Uzee wa huyu bibi ulionekana wazi kwani hata ngozi yake ilikuwa imekunjamana na kupwaya. Mama huyo alikuwa amekumbatiwa na huyo kijana kwa mkono mmoja na mkono wa pili wa kijana ulikuwa busy akimkuna kuna bibi kizee yule na kumpapasa papasa kimapenzi. Bibi alikuwa ametulia tuli akionesha kuwa anafurahia zoezi la kijana. Kila mtu pale karibu yao alikuwa akiwatazama lakini kijana hakujali, alikuwa serious na kazi yake. Nilihisi aibu sana kwa sababu yule kijana alikuwa mtoto sana kwa yule bibi na pia niliogopa kuendelea kuwatazama kwa sababu nilihisi yule kijana ni mwanangu nikajikuta nataka nikamchape kibao aache ujinga ule. Mama wa kizungu akaitwa akachukue pesa dirishani. Wakapelekana akiwa bado kakumbatiwa. Mama alipokea pesa akampa mtoto akaziweka kibindoni, haooo wakaondoka wakisindikizwa na macho kama 50 hivi. Jamani! ndo nini hii? Mungu tuhurumie.

Naomba Mungu nisije kuchoka kimaisha na kimtazamo mpaka kufikia level ya kufanya mambo ya aibu na kuuza utu wangu kama hivi, Eeee Mola nisaidie!
 
Hivi wewe hata ukipata huyo kibibi utaleleka kweli wewe ...mbona nilisikia watu wakisema kunguru huwa hafugiki lol! Hujambo kijana wa migegedo?
hahaha mie hiyo napenda...nyie dada zetu vijana full stress mara oh dear jamani shopping mara nini alafu papuchi unaenda megwa na mwengine....aku mie visichana namega na kusepa full love nitampa kibibi....vipi nasema? wataka kunilea nikupe love la ukweli na mgegedo wa kukukojolesha kikamilifu lol
 
Hivi wewe hata ukipata huyo kibibi utaleleka kweli wewe ...mbona nilisikia watu wakisema kunguru huwa hafugiki lol! Hujambo kijana wa migegedo?

wewe mie sio kunguru bwana...nipo mwake tuu.
 
mmhz, nina maswali lukuki ila kwa sasa no comment
 
Mi nadhani inaweza kuwa ni mtoto wake wa kumzaa pia. mambo ya kidhungu bana...
 
ahahaaaaaa kumbe wengi tumemshangaa huyu kijana....ni bounser pale Pin Point....Yaani ni full kioja...hizi njaa zitawaathiri vijana wanaopenda kubweteka mkuu

Na Arusha jinsi ilivyo na pini!!! Kweli ukishangaa ya Mussa utayaona ya Firauni.
 
kwaio unaona fresh mtu kuuza utu wake kisa matatizo au ili kuendesha maisha? umasikini bwana..ndo mana wazungu wanasemaga TIA..This Is Africa..there is no true love in Africa...nafikiri kama angekua ni mwanao au mdogo wako ungekua na msimamo tofauti..hapo..ova...

aaaa wapi mi mdogo wangu au mwanangu nitafurahi sana tena nitampa maushaurina maujanja ya kukamatia.
We kama huna hela kaa pembeni waache wenzako wajilie vitamu
 
Ha ha ha. binti wewe mcharuko..hujatulia

umeona shost mi mwenyewe hapa natafuta kikongwe cha kizungu chenye miaka 120 nile pension.
Mi nashangaa watu wanaoshangaa mjini hapa utakufa na njaa...
Vipi umepata kiwalo cha tukio???...
Ukipata kishaibu cha miaka hiyo nishtue sawa dia???
 
White Gold (platinum) is everything...............ask my brother Ngcongca or Bongani a.k.a. Bongi from Umtata. He will tell you of Marikana story....of platinum.

umeona Thanda eee???
Yaani hapo limcheni na lilakti sijui dola 1000 na ngapi zilimtoka kama si $20000 na yule kijana alikuwa mjanja nauhakika baada ya siku alienda kuiuza sehemu apate hela.
Ha ndo vijana wanaotakiwa nguvu kazi sio wanakuwa na mahusiano na watasha hawana faida.
Hawaliingizii pato taifa
 
Last edited by a moderator:
Naomba Mungu nisije kuchoka kimaisha na kimtazamo mpaka kufikia level ya kufanya mambo ya aibu na kuuza utu wangu kama hivi, Eeee Mola nisaidie!

kama vijana hawataki kufanya kazi na wanapenda maisha mazuri unategemea nini?lazima mtu atauza utu wake tu
 
umeona shost mi mwenyewe hapa natafuta kikongwe cha kizungu chenye miaka 120 nile pension.
Mi nashangaa watu wanaoshangaa mjini hapa utakufa na njaa...
Vipi umepata kiwalo cha tukio???...
Ukipata kishaibu cha miaka hiyo nishtue sawa dia???
Hehehehe.hata wabongo wenye nazo wapo ila tu ndo waume za watu..je utawaweza?
Kuna huyu Bishanga mzee Mtambuzi na Asprin ila ana wake 4 tayari...
Kiwalo bana bado..Nimezunguka sana karume lakn sijafanikiwa sasa sijui itakuwaje.Napanga kuahirisha kuja nikikosa kiwalo.
 
Last edited by a moderator:
Jana mchana wa saa 8 hivi niliona kituko na nikahisi aibu sana. Nilikuwa ndani ya posta ya Meru(Arusha) kwenye foleni ya dirisha la Western Union. Watu walikuwa wengi wakisubiri kuhudumiwa na wengi tulisimama kwani viti ni vichache. Nilipochoka kusimama nikatupa macho sehemu kwenye viti kama kuna upenyo nikae. Lahaula! Nilimwona kijana wa kiume wa Kiarika mwenye umri kati ya miaka 20-25 akiwa ameketi na mama mzee wa kizungu asiyepungua miaka 60. Uzee wa huyu bibi ulionekana wazi kwani hata ngozi yake ilikuwa imekunjamana na kupwaya. Mama huyo alikuwa amekumbatiwa na huyo kijana kwa mkono mmoja na mkono wa pili wa kijana ulikuwa busy akimkuna kuna bibi kizee yule na kumpapasa papasa kimapenzi. Bibi alikuwa ametulia tuli akionesha kuwa anafurahia zoezi la kijana. Kila mtu pale karibu yao alikuwa akiwatazama lakini kijana hakujali, alikuwa serious na kazi yake. Nilihisi aibu sana kwa sababu yule kijana alikuwa mtoto sana kwa yule bibi na pia niliogopa kuendelea kuwatazama kwa sababu nilihisi yule kijana ni mwanangu nikajikuta nataka nikamchape kibao aache ujinga ule. Mama wa kizungu akaitwa akachukue pesa dirishani. Wakapelekana akiwa bado kakumbatiwa. Mama alipokea pesa akampa mtoto akaziweka kibindoni, haooo wakaondoka wakisindikizwa na macho kama 50 hivi. Jamani! ndo nini hii? Mungu tuhurumie.

acha umbea jali mambo yako
 
Hehehehe.hata wabongo wenye nazo wapo ila tu ndo waume za watu..je utawaweza?
Kuna huyu Bishanga mzee Mtambuzi na Asprin ila ana wake 4 tayari...
Kiwalo bana bado..Nimezunguka sana karume lakn sijafanikiwa sasa sijui itakuwaje.Napanga kuahirisha kuja nikikosa kiwalo.

mi nataka mtasha bwana tena kikongwe hao wote uliowataja babuvijana Bishanga amefiliska leo nimembamba anapiga mzinga sehemu.... Asprin wakeze tu kuwatunza wamemshinda mi kigoli ataniweza kweli???
Mtambuzi bahili bwanaaaaa hafai.

He he shostito mie mwenyewe bado kama vipi tukanunue sanda tushone vidress...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom