IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,715
- 8,119
Hapo shida ni nini?
1. Utofauti wa umri
2. Kushikana kimahaba mbele ya kadamnasi
Mleta mada naona kama yote umeona ni kero lakini binafsi naona kwa habari ya umri hakuna shida yoyote...iweje mwanaume akiwa mkubwa ni sawa lakini si kwa mwanamke???
Umri sio issue kivile...ila kila mtu aliyemuona amekereheka mkuu....ni wa hovyo....so to speak