Thanda
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,915
- 596
Because you know what is "The Power of Love", you have to love your fellow JF members by coming...hoping to see you there zion Daughter
Last edited by a moderator:
Oyaaa... mi siyo mzungu bana, binti amu anataka kikongwe cha kizungu.
We kigoli uwe na adabu. Aliyekuambia nimewashindwa ni nani? FYI niko mbioni kukamata kifaa cha tano. Hebu ongea na Paloma vizuri:becky::becky::becky::becky:mi nataka mtasha bwana tena kikongwe hao wote uliowataja babuvijana Bishanga amefiliska leo nimembamba anapiga mzinga sehemu.... Asprin wakeze tu kuwatunza wamemshinda mi kigoli ataniweza kweli???
Mtambuzi bahili bwanaaaaa hafai.
He he shostito mie mwenyewe bado kama vipi tukanunue sanda tushone vidress...
Thanks Thanda..will try to come by the grace of GodBecause you know what is "The Power of Love", you have to love your fellow JF members by coming...hoping to see you there zion Daughter
Sio unanimisi tu kwa maneno.Safari hii ukinikimbia kwenye kumbukumbu ya Regia subiria talaka saba.
Hivi mpaka tukutane kwenye kumbukumbu.... huko kwenye kumbukumbu kuna vyumba vya kulala wageni wanaotoka Dar wakielekea Dar?Sio unanimisi tu kwa maneno.Safari hii ukinikimbia kwenye kumbukumbu ya Regia subiria talaka saba.
Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hiki siyo kiherehere.Katika zile ajira milioni za mzee....hii ni moja :glasses-nerdy:
Maisha bora kwa kila Mtanzania. Hiki siyo kiherehere.
Usiige matumizi yangu, iga kazi yangu.Chezea mshahara usichezee kazi....
Usiige matumizi yangu, iga kazi yangu.
Inafaa sana arif. Si unajua ile makitu ni tax free?Hiyo ya huyo chalii haifai kuiga arifu
ah ah si kuna kale kamsemo age is nothing but a number...jamaa angekuwa analinawa janaume lenzie sawa...wanasema simba kula mtu ni habari ila mtu kula simba ni habari hatari chezea GIGALO aliyekula hii kitu:majani7: