Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

nukuu muhimu kuhusu halima mdee dhidi ya josephine na slaa mtifuano jimbo la kawe



ZIARA YA SLAA TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA

BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPAMBANE NA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA

I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI

HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHARIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)


MY TAKE; HALIMA SHUGHULIKIA MATATIZO YAKO NDANI YA CHAMA NA JIMBONI KWAKO KWANZA

napenda mageuzi lkn simpendi slaa. msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. huo ndiyo ukweli kutoka moyoni mwangu
 
Wewe kwa kauli hii kuwa CDM kuna sisimizi umejifunza nini ? tuamini madai ya kila siku dhidi yao kuwa CDM ni chama cha kidikteta na maana hiyo kuna sisimi na mchwa?

vijana wageni waliofukuzwa CHADEMA na kuingia ccm wakapewa kipaumbele cha kutembezwa kila kona kufanya mikutano wakati kuna vijana wa UVCCM ambao wana uwezo mkubwa kuliko hao vijana,

Ndugu pia M/kiti wa uvccm wilaya ya Iramba amekemea mateka hao(masalia) ambao wamekuja CCM kufuata pesa afu wapewe heshima ya kutumia jasho letu kwa kufanya mikutano kitu ambacho kinatuvunja moyo sisi tulio kipigania chama cha dhidi ya chadema,
 
napenda mageuzi lkn simpendi slaa. msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. huo ndiyo ukweli kutoka moyoni mwangu

scramble hiyo ndiyo demokrasia,usitegemee Dr. Slaa kushinda kwa 100% hapo 2015. Nashauri chuki yako isiwe chanzo cha uvunjifu wa amani nchini mwetu. Upendo uendelee kutawala Tanzania
 
scramble hiyo ndiyo demokrasia,usitegemee Dr. Slaa kushinda kwa 100% hapo 2015. Nashauri chuki yako isiwe chanzo cha uvunjifu wa amani nchini mwetu. Upendo uendelee kutawala Tanzania

chuki yangu kwake ina sababu. nina sababu kama 7 zinazo nifanya nimchukie. naheshimu na kuenzi amani sana.
 
mhindijohn. Mwambie huyo mkurupukaji, Mdee amemaanisha msaliti tena sisimizi hivyo hakuna neno baya wala linalotatiza.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe CHADEMA wanafukuza Sisimizi na Siafu wanaachwa? hizi siasa za kibongo bwana.
Join Date : 21st February 2013
Posts : 40
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
What a shame,see your joining date na [posts] zako unaonesha muda wote umelipwa kujibu upuuzi huku kwenye JF,shame on your face na ujinga wenu wa kung'ang'ania kujicha,na nyama zilizochinjwa na wauwaji wa mapadre na wachungaji mtazila wenyewe
 
Asompenda dr slaa na ajinyonge! Halima umenena nakupa "like"
 
Obsession.....

another case of intellectual inferiority!

Hivi ilikuwaje akawa makamu mwenyekiti huyu?

Hivi aliongea nini hadi mkaamua kumtwishwa lile zigo bavicha?

Shonza ana upeo mdogo hadi anatutia aibu akisema alikuwa kiongozi Chadema!!
 
Kauli hii ya mdee inanipa funzo fulani, kwamba ndani ya CDM sisimizi hawana chao na wanachotakiwa kufanya ni mkiya kuufyata.
Unatakiwa kabla hujaanza kucomment uwe umeelewa hoja iliyo mbele yako. Hapa Mdee hamaanishi kama ulivyoamua kuliweka wewe, maana yake kulingana na itifaki, waliotimuliwa hawana hadhi ya kupokewa na NEC-CCM, Hiyo ni itifaki ya kisiasa.
 
Hivi ilikuwaje akawa makamu mwenyekiti huyu?

Hivi aliongea nini hadi mkaamua kumtwishwa lile zigo bavicha?

Shonza ana upeo mdogo hadi anatutia aibu akisema alikuwa kiongozi Chadema!!
Vijana wenye sifa mnaikimbia siasa, wenye uthubutu wanaikaribia siasa. Inawezekana kabisa kuwa kati ya waliojitokeza siku hiyo kwenye uchaguzi, Shonza ndio alikuwa afadhali, so at least alionekana anafaa.

Hawezi kuchaguliwa mtu asiyehudhulia kwenye vikao/mikutano ya uchaguz wa viongoz wa siasa, pia haiwezekani kumchagua mtu ambaye hakuomba kuchaguliwa. Tubadilike vijana wenzangu. Tusogelee meza za kufanya maamuzi, tukiendelea kukaa majumbani na kutaka kuongozwa na watu wasio na sifa ila wenye uthubutu, kila siku tutakuwa ni watu wa ku-scream na ku-complain. Ni lazima tuchague kuongoza au kuongozwa, ukichagua kuongozwa, kimsing umechagua upande wa walalamishi.
 
Back
Top Bottom