Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

miongoni mwa watu waliyorudisha kadi za chadema kutokana na ushawishii wa juliana ni huyu hapa kwenye picha. alikua mfanya kazi makao makuu. kwa ushahidi nenda makao makuu ukaulizie.
47.jpg

kama unataka picha za wengine naweza kukuwekea. wanachama 37 kutoka chadema walijiunga ccm pale goba. kuwaita sisimizi siyo sahihi. sasa hivi wanatembelea redio nyingi za fm. wamekua wakieleza ubadhirifu uliopo chdm makao makuu. wengine ni huyu hapa chini. walikua 37
47.jpg

SASA sikiliza...
Waambie hao ma CCM wako, wasitumie Polisi, TISS na vyombo vingine vya dola pia kuwe na tume huru ya uchaguzi hiku TBC ikitangaza habari za cdm kwa nafasi sawa kama za CCM...then twende kwenye uchaguzi wowote ule..pamoja na hao majiasi wenu mtaona!..

Sumbawanga hadi sasa mmeizuia tume ya uchaguzi kutanga jimbo kuwa wazi na kuitisha uchaguzi...vipi mnamsubiri Shonza aendekwanza akaeleze udini na ukabila wa Chadema!!?
 
Hao mbona ndo walewale tu. Sasa kama ni 37, fuatilia kazi ya Mawazo huko kanda ya ziwa ndo utajua moto wa CDM.
 
SASA sikiliza...
Waambie hao ma CCM wako, wasitumie Polisi, TISS na vyombo vingine vya dola pia kuwe na tume huru ya uchaguzi hiku TBC ikitangaza habari za cdm kwa nafasi sawa kama za CCM...then twende kwenye uchaguzi wowote ule..pamoja na hao majiasi wenu mtaona!..

Sumbawanga hadi sasa mmeizuia tume ya uchaguzi kutanga jimbo kuwa wazi na kuitisha uchaguzi...vipi mnamsubiri Shonza aendekwanza akaeleze udini na ukabila wa Chadema!!?

sijasema mimi ni ccm. nilikua nakataa hoja ya mdee kuwaita hawa sisimizi. nimeshauri kuwadharau ni kosa. la mingi ni kubuni mikakati ya kuzima mambo wanayoyaenenza.
 
Msijipe moyo kwa kuwaita sisimizi, Mwampamba na Shonza wameipiga bull CHADEMA.
Sasa tunajua utapeli, wizi wa mali ya umma ni tabia ya watu popote wakikamata madaraka.
Katika LIST OF SHAME na Dr Slaa aongezeke.

Naona unaendeleza tabia ile ile ya kumshambulia mtu tena mmoja Dr.Slaa. Walioko ccm na wanaojua mambo wamekaa kimya na kuwatumia ninyi kama dume kondomu
 
Mbona tunapenda siasa nyepesi nyepesi sana, hivi CCM wataanguka kwa sababu tu eti wamewapokea wanachama kutoka CDM?

Jaribu kuwa mwelewa kwani anguko la ccm haliepukiki hili linajulikana kwa wenye akili timamu tu,kwani kunahaja gani kutumia majukwaa mda mwingi kujibu tuhuma ziszo na majibu kwa vitendo.
 
Naona unaendeleza tabia ile ile ya kumshambulia mtu tena mmoja Dr.Slaa. Walioko ccm na wanaojua mambo wamekaa kimya na kuwatumia ninyi kama dume kondomu
Mbona aliyeshambuliwa hapa na Mwampamba ni mtu mmoja tu, Dr Slaa.
Naye Dr KAKUBALI kujizolea 20 mil.
Sasa ukameruni wenu wa kufikiri kingono ngono sawa na katabia kalikokashinda katibu mkuu wenu ndio inawafikisha hapo.
Na mkuu chitambikwa inaelekea nawe una ka gay mentality, hadi kufikiri kikondom condom.
 
Last edited by a moderator:
Mambo ya CCM Mdee yanakuhusu nini ngoja Josephine akupige chini ndo utie akili
 
Hakuna mtu anaitwa Dr Slaa.Bali Padri Slaa unajua u
dokta wewe.Mtu asomee biblia mmwite Dr na pengo je?ehhh nakuuuliza wewe usiyojua maana ya Dr.
Naona unaendeleza tabia ile ile ya kumshambulia mtu tena mmoja Dr.Slaa. Walioko ccm na wanaojua mambo wamekaa kimya na kuwatumia ninyi kama dume kondomu
 
Mbona aliyeshambuliwa hapa na Mwampamba ni mtu mmoja tu, Dr Slaa.
Naye Dr KAKUBALI kujizolea 20 mil.
Sasa ukameruni wenu wa kufikiri kingono ngono sawa na katabia kalikokashinda katibu mkuu wenu ndio inawafikisha hapo.
Na mkuu chitambikwa inaelekea nawe una ka gay mentality, hadi kufikiri kikondom condom.

Nashukru sana
 
halima mwenyewe ana hali mbaya jimbo la kawe, badala ya kujiimarisha huko anadandia yasiyomhusu, akumbuke wale vijana walibeba pia hoja za kumwokoa yeye kawe asiangukie pua
 
wewe halima wewe, dawa yako ni josephine, ngoja akusikie unatafuta umaafuru humu, jimbo huna mana naye anajipanga kwelikweli
 
nukuu muhimu kuhusu halima mdee dhidi ya josephine na slaa mtifuano jimbo la kawe

ZIARA YA SLAA TUTASIKIA MENGI HASA IKIFIKIA KULE MAENEO YA KAWE KWNEYE JIMBO LA HALIMA MDEE AMBAYE YUPO KWENYE UGOMVI MKALI SANA BAADA YA BABU KUNYIMWA PENZI NA HALIMA

BABU AMEUNDA ZENGWE AKISAIDIANA NA JANET YULE DIWANI WA KAWE ILI WAPAMBANE NA HALIMA ASIKUBALIKE NDANI YA CHAMA

I MEAN ANACHOKIFANYA BABU NI KUBOMOA CHADEMA NA KUJENGA CHADEMA YAKE BINAFSI

HALI HIYO YA HALIMA MDEE KUHARIBIWA JIMBONI KWAKE ILIJIDHIHIRISHA PALE BI.JOSEPHINE ALIPOWAANDAMANISHA WANAWAKE HADI MAKAO MAKUU YA KATIBU MKUU KWA MADAI KWAMBA HAWAMTAKI HALIMA MDEE(Nadhani Dr.slaa analo jibu,Tumain makene unalifahamu hatakama utakataa hapa)

MY TAKE; HALIMA SHUGHULIKIA MATATIZO YAKO NDANI YA CHAMA NA JIMBONI KWAKO KWANZA
 
mdee mwenyewe ni kibaraka ndani ya cdm badala ya kujinyooshea kwanza yeye kidole anawanyoshea wengine.
 
Naona maneno ya Mbunge Halima yalikuwa machache ila yamewakurupusha wote walioko kwenye payroll hapo Lumumba, nadhani Mbunge Halima amewasaidia sana kuwpa kipato mwezi huu
 
Back
Top Bottom