Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Hivi hiki ndo chama alichokuwamo Nyerere...!??
 
Leo Halima Mdee anaipangia CCm cha kufanya! Asome vizuri katiba ya ccm na ajielekeze kwenye majukumu ya H/shauri kuu. Atakuwa amepata majibu. Pia anatakiwa kufahamu tofauti ya kikao cha NEC na mjumbe wa NEC. Unapokutana na kusalimiana na mjumbe wa NEC hujasalimiana na kikao cha NEC. Hivyo, mkusanyiko wa wajumbe kadhaa wa NEC hau-justify uhalali wa kikatiba (CCM) kuwa hicho ni kikao cha NEC. Mdee, ccm kuko vizuri ni bora ukaendelea kuwadanganya wafuasi wako wa cdm wanaofikiri kwa kutumia moyo badala ya kichwa.
 
Jamani msipende kupindisha maneno,alichomaanisha mdee ni kwa hadhi ya nec hao akina shonz na mpambe ni sisimizi
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Aende zake huko, yeye nani mpaka aiongelee NEC? anataka na yeye aamie? kumbe kana wivu wa kuingia CCM? kwanza ajiandae kufanya shughuli nyingine maana kawe tena basi, watu wanakachukia haka ka-Mdee kweli.

CCM tunavumbua wana siasa na kutumia uwezo wao haswa kukijenga chama, waacheni Shonza na Mtela wakijenge chama jamani.
 
Kilichonisikitisha zaidi ni kuwaita wanachama wanaotoka na waliomo CDM ambao hawapo Nec yao kama ipo au sijui initwaje ni sisimizi. Hivi hamjui hata nyie mnaoshabikia humu ndani ni sisimizi kwa CDM? Maskini nyie hamjijui vichwa vya panzi. Mdee kasema kweli CDm wote sisimizi isipokuwa waliopo juu. Kalaghabao na ubozi wenu; hiyo ndiyo taarifa toka kwa Bachelor Mdee; anawapa livu na hiyo haina chenga, mwenye masikio na asikie kama si macho ya kuona. Bravo Mdee mazuzu yanakusifia, leta jingine.
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Dada Halima vipi mapokezi ya JAMES MILLYA ndani ya CHADEMA hayafanani fanani kidogo na haya??hiyo ndio siasa dada Halima,tuvumiliane tu,na Lowassa nae yuko mbioni kuja huko,mjiandae kumpokea!
 
mkuu hii habari wewe mwenyewe unaielewa lakini?embu rudia kuisoma

bila shaka ni Juliana shonza na mwampamba huyo hakika wanatumia pesa nyingi sana kuvuna vindumilakuwili uwiiiiiiiiii Tanzania yetu ina vituko sana . wanapiga jalamba kuw achama cha upinzani
 
Kumbe CHADEMA wanafukuza Sisimizi na Siafu wanaachwa? hizi siasa za kibongo bwana.

Tatizo lako whujataka kuelewa hiyo kauli katika hali ya kawaida, uchambuzi wako hauna umuhimu katika kauli hiyo..
Sisimizi imetumika kuonesha mtu ambaye hajakomaa kisiasa, tumia akili katika kuchambua kitu na sio kukurupuka.
 
Mbona tunapenda siasa nyepesi nyepesi sana, hivi CCM wataanguka kwa sababu tu eti wamewapokea wanachama kutoka CDM?

CCm wataanguka kwa sababu ya kuwathamini wanachama mamluki kuliko wanachama wao asilia; wana ccm asilia wataona wanadharauliwa na wao wataona kumbe umamluki unalipa na hivyo kukihujumu chama chao!! Uongozi wa ccm kabla ya Kikwete na Makamba kushika uongozi waliliona hili na athari zake, na hivyo hawakuwa na mkakati wa kushabikia kuwarubuni wanachama toka vyama vya upinzani na ndio maana hata Wassira alipata taabu sana kutaka kurudi ccm mpaka pale alipomuangukia marehemu Kawawa ambae alimuwekea dhamana iliyosababisha kukubalika kurudi ccm baada ya biashara yake ya samaki kuchacha!!
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja
Hana lolote, kweli nyani haoni kundule, kina Ole milia na Mawazo, banange mbona walipokelwa na viongozi wakuu wa CDM, sema tu wivu wa kijinga, basi aende yeye mchwa atapokelewa ikulu
 
Tatizo lako whujataka kuelewa hiyo kauli katika hali ya kawaida, uchambuzi wako hauna umuhimu katika kauli hiyo..
Sisimizi imetumika kuonesha mtu ambaye hajakomaa kisiasa, tumia akili katika kuchambua kitu na sio kukurupuka.

Angalia busara za hao sisimizi, kuthibitisha usisimizi wao. Mtela hata hajitambui nafasi yake na mipaka yake ameanza kutoa matamko kwa kila mtu:
quote_icon.png
By Mtela Mwampamba

5. Namtaka Msajili wa vyama aeleze kwanini asichukuliwe hatua kwa kushindwa kchukua hatua baada ya kauli ya Dr Slaa kuuthibitishia Umma wa watanzania kuwa chama chake kinatumia ruzuku kukopeshana na yeye Slaa ni mmoja wa wanufaika wa mkopo huo.
Mtela mwampamba
Anatoa agizo kwa msajili wa vyama vya siasa. Hatoi ushauri bali agizo.

Ana mamlaka gani juu ya Msajili wa vyama vya siasa? Hajui mipaka yake? Au ukiwa kwenye jukwaa la CCM wewe una mamlaka juu ya wote? Sijui kama ndivyo mambo yalivyo.
quote_icon.png
By Mtela Mwampamba
6. Kwakua sheria ya uanzishwaji wa Ofisi ya Mkaguzi wa Hesabu za serikali inahusu ukaguzi wa fedha zote ambazo ni mali ya Umma, Naomba CAG aeleze watanzania kwanini hakagui hesabu za vyama vya siasa vinavyopata ruzuku kama anavyokagua Halmashauri za Wilaya na Manispaa au Mashirika ya Serikali?

Tunataka utaratibu wa ukaguzi kwa hesabu za ruzuku za vyama kama ilivyo kwa Halmashauri na mashirika. Ifike mahala tujue vyama vya siasa vinavyopata hati safi na chafu katika kutumia kodi zetu watanzania.
Mtela mwampamba
1. Mwampamba hujui kama hesabu hizi zinakaguliwa? Hujui kuwa CAG anajua kila linaloendelea kuhusu fedha hizo za ruzuku?
2. Lakini mbona huendi mbali na kudai maelezo ya mabilioni yaliyotumika na CCM kwenye kampeni iliyopita ikiwemo za kuhuonga wapiga kura?
3. Mwampamba wewe ni nani mpaka utoe matamko hadharani ya kumwamuru na si kumshauri CAG?

quote_icon.png
ByMtela Mwampamba
7. Kwakua Bunge ndio msimamizi Mkuu wa Hesabu za Serikali kupitia Kamati zake za Hesabu, Naomba Kamati ya Uongozi ya Bunge, Wenyeviti wa Kamati za Hesabu , waeleze kwanini hawakagui matumizi ya vyama wakati vinatumia ruzuku ambayo ni kodi ya wananchi?
Mtela mwampamba
Tena Mwampamba unaonekana kuchemka: hujui kama matumizi ya vyama yanakaguliwa, na bado unataka kutusadikisha kuwa unajua mambo ya ndani kabisa ya CHADEMA wakati hili ndilo lingepaswa kuwa la kwanza kulijua.

Halafu kama kawaida yako ya kutojifahamu, unatoa maagizo na sio ushauri kwa bunge na Wenyeviti wa Kamati za Hesabu wakupe maelezo.

Yaani kwa mamlaka haya uliyojipa wewe ndio Mwenyekiti wa CCM na wewe ndio Rais wa nchi hii.

Tusishangae kesho akatoa maagizo kwa Rais.

Ndio maanda wenye akili ndani ya CCM tayari wameanza kuona kuwa kuna shida.

Na kweli kuna shida sana juu ya vijana hawa Shonza na Mwampamba. Kumbukeni kuwa hawa wameokotwa na CCM baada ya kuwa wamefukuzwa CHADEMA kwa utovu wa nidhamu. Hawajahama CHADEMA kama CCM wanavyodai,

CCM ignore this at your own risk.​
 
Kumbe CHADEMA wanafukuza Sisimizi na Siafu wanaachwa? hizi siasa za kibongo bwana.
yap, waliofukuzwa walikuwa na hadhi ya sisimizi tu, kwa sababu hata wewe umewajua baada ya rumasi za kufukuzwa, cha ajabu ndani ya chama chetu ndio wanaonekana ni majembe, "ganda la muwa la jana. . . . . ." malizia mkuu.
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Then upumbavu mwingine ni kuwaambia hao sisimizi waende wakawaeleze wananchi "udini" wa CHADEMA ambao haupo!
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Then upumbavu mwingine ni kuwaambia hao sisimizi waende wakawaeleze wananchi "udini" wa CHADEMA ambao haupo! Wanazidi kuchochea udini hawa ma CCM!
 
Back
Top Bottom