Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Join Date : 21st February 2013
Posts : 40
Rep Power : 309
Likes Received2
Likes Given0
What a shame,see your joining date na [posts] zako unaonesha muda wote umelipwa kujibu upuuzi huku kwenye JF,shame on your face na ujinga wenu wa kung'ang'ania kujicha,na nyama zilizochinjwa na wauwaji wa mapadre na wachungaji mtazila wenyewe

woow dats great words...thanks for your positive mind
 
Unatakiwa kabla hujaanza kucomment uwe umeelewa hoja iliyo mbele yako. Hapa Mdee hamaanishi kama ulivyoamua kuliweka wewe, maana yake kulingana na itifaki, waliotimuliwa hawana hadhi ya kupokewa na NEC-CCM, Hiyo ni itifaki ya kisiasa.

acha na mambulula hao...mtu ana jadili kitu bila mantiki...upuuz upuuz tu..
 
Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.

Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.

'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja

Akiwa CHADEMA ni mchwa akitoka sisimizi!
 
akili ndogo kuongoza akili kubwa nape kapewa kazi inayomzidi umri na uzoefu hajui anafanya nini,muda si mrefu kundi moja la urais litatumia mtaji wa akina shonza kwanini wanatumia pesa za chama kuwapamba wakati uvccm ina vijana makini kuliko hao very soon nape will pay the price
 
Hapo ndipo CCM ilipofikia, ipo siku watachukua hadi wala/wavuta unga i.e mateja (jina maarufu) wao bora mwanachama kaingia basi, na ada ya mwanachama kawaida wanalipa wakubwa wenyewe.
 
chadema makini sana wanfukuza uchafu wote tokea tz hadi ugaibuni hakuna kulindana
 
Pamoja na kuongea upuuzi kwa kusema CCM imepokea sisimizi, lakini nilivyokusikiliza mwishoni uliulizwa swali kuhusu mahusiano yako, ukajibu kwamba hamna kitu kama hicho zile zilikuwa siasa.? sijui ulikuwa na maana gani kusema ilikuwa siasa.Inawezekana tafsiri ya siasa ni kitu cha uongo ndio ipo kichwani kwako.

Ushauri fanya siasa safi na sio ropo ropo,jitahidi uwe mfano kwa jamii hasa wanawake wenzako.
 
Kuwe na kitufe cha kubonyeza ili kunotify watu kuhusu hangover za member wanao post utumbo kama huu ili tusisumbuke kuchangia
 
Back
Top Bottom