Hana lolote, kweli nyani haoni kundule, kina Ole milia na Mawazo, banange mbona walipokelwa na viongozi wakuu wa CDM, sema tu wivu wa kijinga, basi aende yeye mchwa atapokelewa ikulu
utamlinganisha ole millya na mwampamba au shonza?
Hana lolote, kweli nyani haoni kundule, kina Ole milia na Mawazo, banange mbona walipokelwa na viongozi wakuu wa CDM, sema tu wivu wa kijinga, basi aende yeye mchwa atapokelewa ikulu
Ndio agenda ya chama chetu mkuu, usishangae, ilitusaidia walau kuvuka 2010, japo ilikuwa kwa mbinde.Then upumbavu mwingine ni kuwaambia hao sisimizi waende wakawaeleze wananchi "udini" wa CHADEMA ambao haupo!
Msijipe moyo kwa kuwaita sisimizi, Mwampamba na Shonza wameipiga bull CHADEMA.Kwa hadhi ya kamati kuu ya chama chochote ni aibu kubwa sana na inayoashiria kushuka kwa nyuzi 90 Kupokea wanachama wapya tena waliofukuzwa kwa usaliti na mienendo mibaya wasio na hata hadhi ya kupewa uenyekiti wa kitongoji kwa sababu ya utendaji wao.
Kitendo cha Nec -CCM kuwapokea hao sisimizi ( ) na tena mwishoni mwa kikao chao , kuwalipia hela nyingi ili wazunguke ya kuwa ni hazina kubwa kisiasa, kinaashiria hari mbaya kisiasa inayosindikiza kifo cha ccm.
'NEC lazima ipokee watu wa hadhi ya NEC, siyo hadhi ya tawi. Hapo wamepokea sisimizi siyo kwa wingi bali ukubwa, na kama uwezo wa NEC ya ccm ipo hivyo basi ..........................' Alisema Mdee Jmosi alipokuwa anahojiwa na kituo cha Redio moja
Halima mdee sasa umefikia wakati uingie kwny ndoa siasa zinakupoteza
unaweza kumuita mtu sisimizi akakuzamisha. la msingi chadema ijipange kuhamasisha watu kujiunga na chama. kazi wanayo ifanya akina juliana kule ccm siyo ya kitoto!
![]()
![]()
![]()
[/QUOT![]()
Tumieni kichwa bwana, sasa hapo anawahutubia watu wenye sare za CCM tu....ina maana wote hao ni wanaCCM!
Ndio kazi hiyo ya kushawishi watu..au anawaburudisha tu makada wenye jukumu zito la kurudisha imani yao kwa watanzania iliopotea kabisa baada ya ufisadi kuongezeka nchini, udini kutuama Tanzania, umasikini kuweka makazi ya kudumu kwa wananchi!!
Hii kuwaambia wanamagamba kuwa eti Dr Slaa alinikonyeza haitaisaidia kabisa CCM!
Mmmh!!Mpo wengi mnakuja kwa fujo...nadhani zile i pad mlizogaiwa na pesa za bundle pale lumumba mzitumie kwa kutetea upuuzi wa masisiem,inshort vile virus tumevifukuza halafu vinapokelewa na kikwete,maajabu kweli kweli hivi huyu baba wa watu kwa nn hamumuonei huruma kila siku kumuingiza mkenge halafu mnakaa pembeni mnamcheka?Leo Halima Mdee anaipangia CCm cha kufanya! Asome vizuri katiba ya ccm na ajielekeze kwenye majukumu ya H/shauri kuu. Atakuwa amepata majibu. Pia anatakiwa kufahamu tofauti ya kikao cha NEC na mjumbe wa NEC. Unapokutana na kusalimiana na mjumbe wa NEC hujasalimiana na kikao cha NEC. Hivyo, mkusanyiko wa wajumbe kadhaa wa NEC hau-justify uhalali wa kikatiba (CCM) kuwa hicho ni kikao cha NEC. Mdee, ccm kuko vizuri ni bora ukaendelea kuwadanganya wafuasi wako wa cdm wanaofikiri kwa kutumia moyo badala ya kichwa.
Leo Halima Mdee anaipangia CCm cha kufanya! Asome vizuri katiba ya ccm na ajielekeze kwenye majukumu ya H/shauri kuu. Atakuwa amepata majibu. Pia anatakiwa kufahamu tofauti ya kikao cha NEC na mjumbe wa NEC. Unapokutana na kusalimiana na mjumbe wa NEC hujasalimiana na kikao cha NEC. Hivyo, mkusanyiko wa wajumbe kadhaa wa NEC hau-justify uhalali wa kikatiba (CCM) kuwa hicho ni kikao cha NEC. Mdee, ccm kuko vizuri ni bora ukaendelea kuwadanganya wafuasi wako wa cdm wanaofikiri kwa kutumia moyo badala ya kichwa.
unaweza kumuita mtu sisimizi akakuzamisha. la msingi chadema ijipange kuhamasisha watu kujiunga na chama. kazi wanayo ifanya akina juliana kule ccm siyo ya kitoto!
![]()
![]()
![]()
[/QUOT![]()
Tumieni kichwa bwana, sasa hapo anawahutubia watu wenye sare za CCM tu....ina maana wote hao ni wanaCCM!
Ndio kazi hiyo ya kushawishi watu..au anawaburudisha tu makada wenye jukumu zito la kurudisha imani yao kwa watanzania iliopotea kabisa baada ya ufisadi kuongezeka nchini, udini kutuama Tanzania, umasikini kuweka makazi ya kudumu kwa wananchi!!
Hii kuwaambia wanamagamba kuwa eti Dr Slaa alinikonyeza haitaisaidia kabisa CCM!
miongoni mwa watu waliyorudisha kadi za chadema kutokana na ushawishii wa juliana ni huyu hapa kwenye picha. alikua mfanya kazi makao makuu. kwa ushahidi nenda makao makuu ukaulizie.
![]()
kama unataka picha za wengine naweza kukuwekea. wanachama 37 kutoka chadema walijiunga ccm pale goba. kuwaita sisimizi siyo sahihi. sasa hivi wanatembelea redio nyingi za fm. wamekua wakieleza ubadhirifu uliopo chdm makao makuu. wengine ni huyu hapa chini. walikua 37
![]()
Hivi katika siasa za Tanzania Juliana Shonza na Ester Wasira nani ni sisimizi?
Aende zake huko, yeye nani mpaka aiongelee NEC? anataka na yeye aamie? kumbe kana wivu wa kuingia CCM? kwanza ajiandae kufanya shughuli nyingine maana kawe tena basi, watu wanakachukia haka ka-Mdee kweli.
CCM tunavumbua wana siasa na kutumia uwezo wao haswa kukijenga chama, waacheni Shonza na Mtela wakijenge chama jamani.
Kama Shonza ni sisimizi je Ben atakua ni nini?
Hana lolote, kweli nyani haoni kundule, kina Ole milia na Mawazo, banange mbona walipokelwa na viongozi wakuu wa CDM, sema tu wivu wa kijinga, basi aende yeye mchwa atapokelewa ikulu