Easyway
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 2,606
- 3,713
mimi naona tumekuwa mabingwa wa kufuatilia maisha ya watu,we gari la la Halima unalifahamu sana kwa undani kiasi hicho,halafu tupunguzeni majungu maisha ya mtu binafsi tuyaache kama yalivyo.
Sidhani kama suala la kuolewa ni la muhimu sana huku mtaani kwetu wanawake wengi hawajaolewa na mimi ninaona ni kawaida tu,tuachane na maisha ya kale.
Sidhani kama suala la kuolewa ni la muhimu sana huku mtaani kwetu wanawake wengi hawajaolewa na mimi ninaona ni kawaida tu,tuachane na maisha ya kale.