Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

Aibu kubwa NEC-CCM Kupokea Sisimizi: Mdee

kuna mtu asiejua kimara hakuna maji?
kuna mtu asiyejua Halma hajaolewa?
 
Jamani Uongozi unaanzia home na uwakilishi pia vilevile.....sasa kitandani je anawakilisha wanawake ipasavyo?

Hivi kwanini kila anapoongelewa kiongozi mwanamke lazima swala la sexuality liingizwe?
Mimi nadhani kama jamii hatutumii vizuri potential ya akinamama kwa sababu ya ukiritimba wa kuwaona akinamama kama objects of sexual attention.
TUBADILIKE...
 
Pamoja na kuongea upuuzi kwa kusema CCM imepokea sisimizi, lakini nilivyokusikiliza mwishoni uliulizwa swali kuhusu mahusiano yako, ukajibu kwamba hamna kitu kama hicho zile zilikuwa siasa.? sijui ulikuwa na maana gani kusema ilikuwa siasa.Inawezekana tafsiri ya siasa ni kitu cha uongo ndio ipo kichwani kwako.

Ushauri fanya siasa safi na sio ropo ropo,jitahidi uwe mfano kwa jamii hasa wanawake wenzako.

Kumbe Halima Mdee ndo aliyemuita Shonza Sisimizi..Safi sana! ningekuwa najua anapokaa ningamtafuta nikampa soda ! safi sana!
 
Naona Josephine anapasha kwa mbali.....
Hahaa Halima umekalia Kiti cha First Lady....
 
Sokomoko! wengine hawajui ni mbunge wa wapi, na wengine hawajui aliuzwa nini, Hudhurieni "sports kizaazaa" mtapata majibu!
 
Alivyijibu Halima Mdee hata ningekuwa mimi ningekujibu hivyo hivyo au zaidi ya hivyo.Jamani ukianza kuongelea maisha ya watu wengine hebu jaribu ya kwako,mbona hauyasemi?Kila mtu ashike biashara zake mambo ya Halima Mdee tumwachie mwenyewe ana ndugu ,wazazi ,marafiki ambao ya ubinafsi wake wanaweza kuyaongea wao.

Tujishughulishe na Je,anatekeleza alichoombwa kutekeleza?
 
Hivi kwanini kila anapoongelewa kiongozi mwanamke lazima swala la sexuality liingizwe?
Mimi nadhani kama jamii hatutumii vizuri potential ya akinamama kwa sababu ya ukiritimba wa kuwaona akinamama kama objects of sexual attention.
TUBADILIKE...

Naku-support kwa asilimia mia.Wanawake wakishindwa wanatukana eti hatuwezi,tukiweza wanatukana sasa sijui jema ni lipi.Ni kweli tukue kifikra tusiangalie jinsia ya mtu,kuolewa na kuoa ni mapenzi ya mungu,na jinsi alivyomuumba.Tuheshimu maamuzi ya mtu.
 
Back
Top Bottom