- Thread starter
- #261
Najua kuna nyanja nyingi za kutafuta pesa. Lkn mada yangu imeangazia kilimo kama sehemu mojawapo ya kuwafanya wasomi wasiendelee kubweteka na kukaa kwa mashemeji zao wakifua boksa kusubiria ajira kwa miaka mingi.Nani alikwambia maisha ni kilimo pekee? Punguza ushamba kijana.