Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,524
- 203,287
Haha nimecheka hiyo nickname ya JWBasi chagua unachotaka hata kama ni Yohana Mtembezi Double Black (John Walker whiskey)
Sometimes uwa napika uji namix na JW red label š
Ila Janabi hapendi, sijui itakuwaje.