K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,818 Reaction score 21,325 Apr 30, 2025 Thread starter #41 To yeye said: Huu umri umeoa tayari mkuu, unataka uchepuke? Click to expand... Maua Dada yanameremeta!
To yeye said: Huu umri umeoa tayari mkuu, unataka uchepuke? Click to expand... Maua Dada yanameremeta!
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,818 Reaction score 21,325 Apr 30, 2025 Thread starter #42 The Burning Spear said: Kiufupi ulitaka kula mjukuu wako siyo. Utakufa vibaya wewe Click to expand... Ndio maana niliona Aibu,nikaghairi!
The Burning Spear said: Kiufupi ulitaka kula mjukuu wako siyo. Utakufa vibaya wewe Click to expand... Ndio maana niliona Aibu,nikaghairi!
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,818 Reaction score 21,325 Apr 30, 2025 Thread starter #43 Half american said: Sasa hofu yako n ipi Click to expand... Hofu yangu ni umri na kuamkiwa na mama yake mzazi!
Half american said: Sasa hofu yako n ipi Click to expand... Hofu yangu ni umri na kuamkiwa na mama yake mzazi!
iNine9 JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 5,156 Reaction score 10,007 Apr 30, 2025 #44 Dumas the terrible said: Nimelia sana aisee, Story Yako haina maadili Utu upo wapi kwanini tunakua na tamaa? Mtoa Mada umeniuzi nikajua utakuja kwenye uzi wa riki boy kuleta ushuhuda Unatuletea story za kushindwa Shabhaaash! Click to expand... Mbaya zaidi anaandika kama mwanafunzi wa darasa la nne anaesomewa IMLA..
Dumas the terrible said: Nimelia sana aisee, Story Yako haina maadili Utu upo wapi kwanini tunakua na tamaa? Mtoa Mada umeniuzi nikajua utakuja kwenye uzi wa riki boy kuleta ushuhuda Unatuletea story za kushindwa Shabhaaash! Click to expand... Mbaya zaidi anaandika kama mwanafunzi wa darasa la nne anaesomewa IMLA..
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,230 Apr 30, 2025 #45 Kimwakaleli said: Maua Dada yanameremeta! Click to expand... Sawa Kalumbu
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,825 Reaction score 113,411 Apr 30, 2025 #46 Kimwakaleli said: Hofu yangu ni umri na kuamkiwa na mama yake mzazi! Click to expand... Kula kinachofaa kuliwa hayo mengine hayakuhusu
Kimwakaleli said: Hofu yangu ni umri na kuamkiwa na mama yake mzazi! Click to expand... Kula kinachofaa kuliwa hayo mengine hayakuhusu
K Kimwakaleli JF-Expert Member Joined Apr 16, 2018 Posts 14,818 Reaction score 21,325 Apr 30, 2025 Thread starter #47 Half american said: Kula kinachofaa kuliwa hayo mengine hayakuhusu Click to expand... Sawa mkuu nimekuelewa!
Half american said: Kula kinachofaa kuliwa hayo mengine hayakuhusu Click to expand... Sawa mkuu nimekuelewa!