Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 14,743
- 21,126
CCM ndio chanzo cha mttz ya akili ya wananchi wakeee,,,polee mkuuNimelia sana aisee,
Story Yako haina maadili
Utu upo wapi kwanini tunakua na tamaa?
Mtoa Mada umeniuzi nikajua utakuja kwenye uzi wa riki boy kuleta ushuhuda
Unatuletea story za kushindwa
Shabhaaash!
Ndio Mimi Mkuu,hujambo!Kweli wewe kimwakaleli.
Mimi naogopa kudharaulika!Mimi hula kuku pamoja na kifaranga wake kisha husubiri matokeo.
Duniani tunaishi mara moja na tupo ili tufe.
Uyole moja? au Mboka?Habari Ndugu na jamaa, nashukuru Mungu, Muumba mbingu na Ardhi kwa Uhai huu.
Tunaishi katika Dunia yenye mambo mengi ya kufurahisha, kuhuzunisha na ndio Maisha!
Umri Kumbe umesonga! Kuna Kasi hana, nilikuwa nakafukuzia huku mtaani, kazuri kameumbika kwa kweli, Mimi ninavyokaona. Nikawa nakapa zaidi huku nikijiandaa Nako kuvunja Amri!Jamaa yangu akamuita dada mmoja ninayemfahamu, kwa heshima yule Dada Huwa Ananiambia, Shikamoo siku zote tukikutana. Kumbe huyu dada ndie mama mzazi wa hako kabinti ninakotaka tuvunje hiyo Amri ya Sita!
Nimeishiwa pozi na sikatafuti tena na naachana na mambo ya kutafuta mademu.
Umri umeenda tuyaache haya mambo yakupita!
Ahsanteni.
Mwezi mchanga ndio unafanyeje?Mwenzi mchanga au?
We huo makubwa ndio upi!Vijana wenye mchango mdogo Kwa Taifa.
Rungwe _Busokelo hiyo!Uyole moja? au Mboka?
Kilichokuliza Nini Mkuu,Mbona story ya kujasiri!Nimelia sana aisee,
Story Yako haina maadili
Utu upo wapi kwanini tunakua na tamaa?
Mtoa Mada umeniuzi nikajua utakuja kwenye uzi wa riki boy kuleta ushuhuda
Unatuletea story za kushindwa
Shabhaaash!
Akili zangu timamu Labda Huyo kalia kwa kuogopa tone tone!CCM ndio chanzo cha mttz ya akili ya wananchi wakeee,,,polee mkuu