Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,604
- 133,242
Yah sema wengi tunakosea kuandika prompt hvy Ai inaamua yenyew cha kufanya bila ruksa, ila prompt ikinyooka huwez kukuta sura imebadilika na hata ilibadilika sio rahisi kugundua.Mekupata sana boss wangu.
UKituma hizo real image mtaalamu mbaga atazitumia kufanyia face lock ili wewe wa AI ufanane na huyo wa kwenye video za kweli.
Kila la heri ktk kazi yako mkuu
Passport size nayotumia now nmetengeneza kwa chatgpt na ukiichek unaona n mm kabisa 100%