AI video generator applications za gharama nafuu

AI video generator applications za gharama nafuu

Yah sema wengi tunakosea kuandika prompt hvy Ai inaamua yenyew cha kufanya bila ruksa, ila prompt ikinyooka huwez kukuta sura imebadilika na hata ilibadilika sio rahisi kugundua.

Passport size nayotumia now nmetengeneza kwa chatgpt na ukiichek unaona n mm kabisa 100%
NI kweli mkuu.
Ukiipa prompt maneno sahihi basi utaona lile wazo ulilonalo kichwani likija kwenye ulimwengu halisi.
Hongera mpare kwenye hiyo lassport
Inaonekana character consistency si ishu kwako
 
Mbaga hujambo mwanangu kumbe uko na ujuzi babanguu

Mbona chatgpt ya kawaida ina picha standard tuu ila hapo kwa kulipia umenikamata ngoja nijaribu kuanzia November nione makali ya huyo mwamba.....
Mkuu, ukishaona kuna cha bure afu hapo hapo kuna ya kulipia maana yake lazima kuwe na utofauti.

Chatgpt nayotumia nmelipia kutokana na aina ya kazi nayofanya hvy ya bure inanizuia kufanya mambo mengi pia inanirahisishia kazi ya graphics.
 

Hebu pitia huu uzi prida
Sawa asante🙏
 
Mkuu, ukishaona kuna cha bure afu hapo hapo kuna ya kulipia maana yake lazima kuwe na utofauti.

Chatgpt nayotumia nmelipia kutokana na aina ya kazi nayofanya hvy ya bure inanizuia kufanya mambo mengi pia inanirahisishia kazi ya graphics.
Nikitaka kutengeneza hizi ads.... kwa Ai tool ni ipi nzuri kwenye kulipia ndiyo umenisanua hapo
 
Na we walikuhack 😂
Safi, lazima tuishi kwa kutegemeana 😂
Sio walini..
Am hacked.
Sina privqcy.😃
Hii simu nayotumia hapa iko wazi kama kalio la jogoo kwenye upepo.😃
Mimi hata sio ananymous ,wanajua hadi micheps ya baba wawili yangu ambayo mimi siijui.
Kwa kifupi najulikana kuliko ninavyojijua.
 
That's a wonderful way of making her understand while making your way to get a tender.

Kazi ni kazi ila kama hana hela itabidi akubali kuhenyeka. Ku edit ni kazi ngumu sana. Watu hawajui tu
Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe 😂

Na hii kazi huwez kukwepa editing 😂
Mana hakuna Ai itakayokupa video ya dkk Ht 5 ndani ya video moja, gemini nayotumia Inatoa video ya 10 sec so inabidi uifanyie editing kupata dkk unazotaka

Kuna mtu alinipa kazi ya video ya dkk mbili afu akaitaka ndani ya siku moja, nikamwambia Akafie mbele huko.
 
Nikitaka kutengeneza hizi ads.... kwa Ai tool ni ipi nzuri kwenye kulipia ndiyo umenisanua hapo
Chatgpt haitengenezi video, n picha tuu.
Ila inakusaidia kutengeneza prompt nzuri na sahihi ili ukaipaste kwenye Ai video unayotaka.

So chatgpt unaipa ideas tuu then wanakupa prompt nzuri.

Kama unataka video, I prefer utumie Higgsfield AI japo hii ina complicated kiasi, so kama ndo unaanza hizi ishu anza na gemini ipo simple kuitumia japokuwa ikiwa unaanza unaweza usiielewe mwanzoni unaweza kuona inakuchanganya hasa ilianza kukupa video hazieleweki mara kichwa kipo mguuni 😂 jokes
 
Sio walini..
Am hacked.
Sina privqcy.😃
Hii simu nayotumia hapa iko wazi kama kalio la jogoo kwenye upepo.😃
Mimi hata sio ananymous ,wanajua hadi micheps ya baba wawili yangu ambayo mimi siijui.
Kwa kifupi najulikana kuliko ninavyojijua.
Ah ila kama huna mambo mengi duniani huko, bc watakuacha wnyw 😂
 
Ww unaona nakukazia mana umeamua kutokusoma comment zangu vzr, mm nmekupgia hesabu vzr nmekuwekea hapo.

Uzuri h kazi kuna gharama za aina mbili.
1. Gharama za moja kwa moja kama kulipia app na bando.

2. Pesa zisizo za moja kwa moja kama muda wa kufanyia editing hizo videos, muda wa kuandaa prompt n.k


Ukiamua kufanya mwnyw n nafuu zaidi kuliko kumpa mtu mana mtu mwngn itabidi umlipe gharama za muda wake.

Ukifanya ww utaokoa gharama za editing, kuandika prompt n.k

Mfano mtu atataka 500k kufanya editing hizo video zote, ila ww mwnyw utafanya editing ukiwa una kunywa juisi ya jero miguu juu kitandani kwako 😂

Mpaka hapo c umeona kuna gharama umeokoa, au hujaona?

prida
Nimeona ndugu yangu.
Asante sana.
Nilikua najifanya sijaona ili useme yote ya moyoni.
Nyie wapare mna ubahili kwenye kila jambo lazima lazima mbinu za ziada zitumike.
Barikiwa🙏🙏
 
Chatgpt haitengenezi video, n picha tuu.
Ila inakusaidia kutengeneza prompt nzuri na sahihi ili ukaipaste kwenye Ai video unayotaka.

So chatgpt unaipa ideas tuu then wanakupa prompt nzuri.

Kama unataka video, I prefer utumie Higgsfield AI japo hii ina complicated kiasi, so kama ndo unaanza hizi ishu anza na gemini ipo simple kuitumia japokuwa ikiwa unaanza unaweza usiielewe mwanzoni unaweza kuona inakuchanganya hasa ilianza kukupa video hazieleweki mara kichwa kipo mguuni 😂 jokes
Hahahaha ngoja November sio mbali leo nikiwa home nta ipakua hiyo gemini..... Niichek nikiwa natafuta utulivu na kiasi cha premium hapo

Hv bruh pc kuna wakati nikiwasha kama unachek tuu video inakuwa inapata moto na feni inakuwa inazunguka bila kupoa shida nn 🤔
 
Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe 😂

Na hii kazi huwez kukwepa editing 😂
Mana hakuna Ai itakayokupa video ya dkk Ht 5 ndani ya video moja, gemini nayotumia Inatoa video ya 10 sec so inabidi uifanyie editing kupata dkk unazotaka

Kuna mtu alinipa kazi ya video ya dkk mbili afu akaitaka ndani ya siku moja, nikamwambia Akafie mbele huko.
Kumbe na wewe ni msaka fursa tu?

Ongea na Mbaga, mfikie makubaliano acha tamaa dada. Utakesha, alaf ukipata mtu akakufundisha inakuwa faida kwako japo itaingia mfukoni kwanza
 
Nimeona ndugu yangu.
Asante sana.
Nilikua najifanya sijaona ili useme yote ya moyoni.
Nyie wapare mna ubahili kwenye kila jambo lazima lazima mbinu za ziada zitumike.
Barikiwa🙏🙏
So hapo umeridhika?
 
Hv bruh pc kuna wakati nikiwasha kama unachek tuu video inakuwa inapata moto na feni inakuwa inazunguka bila kupoa shida nn 🤔
Hakuna namna hapa Zaid ya kuiacha iwe inapoa au ufanye uwe unakaa ndani ya friji 😂

Anyway, jaribu kuipunguzia kazi hy pc
 
That's a wonderful way of making her understand while making your way to get a tender.

Kazi ni kazi ila kama hana hela itabidi akubali kuhenyeka. Ku edit ni kazi ngumu sana. Watu hawajui tu
Ofcoz.
Najua ku edit ni ngazi ngumu ila ku edit kazi za Ai sio ngumu kihivyo sbb vitu kama color grading na mwanga na vingine vingi unavikomand tu kwa prompt.

Mimi shida yangu hapa ni kujuzwa app za gharama nafuu.
Kwanza kumpa mtu wazo langu afanye kazi nimlipe shida sio kumlipa shida ni ishu za copy rights.Akiiba idea yangu je.

Unajua ka idea ka kijinga tu kanaweza badili maisha yako for good?
 
Kumbe na wewe ni msaka fursa tu?

Ongea na Mbaga, mfikie makubaliano acha tamaa dada. Utakesha, alaf ukipata mtu akakufundisha inakuwa faida kwako japo itaingia mfukoni kwanza
Dada aliniambia anafanya editing pia
Afu maelezo yangu Yanaeleweka 100% so hakuna kusaka fursa hapo
 
Back
Top Bottom