AI video generator applications za gharama nafuu

AI video generator applications za gharama nafuu

Mm naona yupo sahihi, video production ya maana inakula pesa knoma mzee wangu, ndo wana wengine wanachanganya Ai na real shooting
AI haina genuinity na ukiwekeza sana AI inaonekana mjanja janja..

Jana Nimecheka video mpya ya navy Kenzo ilikuwa kali ila ni AI..

AI Ina let's some trust issues
 
AI haina genuinity na ukiwekeza sana AI inaonekana mjanja janja..

Jana Nimecheka video mpya ya navy Kenzo ilikuwa kali ila ni AI..

AI Ina let's some trust issues
YAH navy kenzo Ile ngoma n Ai full, ila kwa mtu anayejua sana kutofautisha video za AI vs real video ataona kweli Ai zinapunguza utamu wa videos
 
Duh kama vile upo serious, safi sana mamaa 🔥
Eti kama vile upo serious😃
Ofcoz am not that serious.Just a a new mom tryna havn fun😃

Naomba basi nielekeze app inayotoa credits nying kwa ghaeama nafuu🙏🙏

Hivi mtu akuombaje ndo moyo wako mgumu kama wa farao ulainike we kaka🙏
Nisaidie basi🙏
😭😭
 
Duuh mm sio expert aisee, ila hiyo 150M jau!

Inategemea na participants ila kama ni ya kawaida tu.. Kiasi hicho unapigwa.

Ila sikatai, depends na mandhari pia.

Anyways wishing you the very best

Unataka nije na zawadi double ila shem anisanukie kijana wa watu sina makuu?
HIyo 150M ni mfano tu dogo hata 10M sina so hakuna wakunipiga.

Zawadi double si za ma uncle zako wawili hakuna wakukusanukia mjomba mtu😃
 
Mimi naona bora mtu utengeneze animation kuliko AI generated video...

Ila sawa, tu kila mtu na mapendeleo yake
NI eitha real life production au AI realistic .Ila kwani hata AI videos si ni 3D animation au?

Anyway.
Kwani mdogo eti wale wanaotengenwzaga movie serious wanatumiaga app gani?,Sidhani kama nao wanatumia hizi app za credits chache za gharama
 
Mkuu, hizi screenshot n kutoka kwenye simu yako moja kwa moja? 😂
Mnataka na yeye mumu hack kama mimi?😃🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🙁🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️🏃‍♂️‍➡️
 
Back
Top Bottom