AI video generator applications za gharama nafuu

AI video generator applications za gharama nafuu

Ukichagua AI hakuna hizo gharama za video shooting.

Bali itatakiwa uende studio maalum kwa photo shoot.

Ili mwisho wa siku mtu anayekufanyia kazi ya videoapate kitu kama hiki.
View attachment 3697493

Ukiangalia hii picha, mhusika kabadili nguo mara nne.

Kinachobakia hapo, ni AI inamaliza kila kitu:
  • Location: AI
  • Lips syn: AI
Hadi video yote inakamilika.
Full AI inapoteza some credit boss kwa KAZI ambazo nisha ziona, nilibaini changamoto nyingi sasa kawa sasa wengi hatupendi mashabiki watambue video ni AI boss ndio mana tuna wachezesha ili waumize kichwa
 
Na asipoelewa hy comment yangu bc hatoweza kuelewa tena kamwe 😂

Na hii kazi huwez kukwepa editing 😂
Mana hakuna Ai itakayokupa video ya dkk Ht 5 ndani ya video moja, gemini nayotumia Inatoa video ya 10 sec so inabidi uifanyie editing kupata dkk unazotaka

Kuna mtu alinipa kazi ya video ya dkk mbili afu akaitaka ndani ya siku moja, nikamwambia Akafie mbele huko.
Mkuu mbaga ufukuze client wako kisa 2min. clip??

Mimi na u underground wangu nipe app ina credits za kutosha natoa video ya 10 minutes kwa siku 2.Siku moja yakuandaa elements/reference/image bank then siku ya pili natumia nusu siku tu natoa video safi

Hiyo 2 min. Siku moja na deliver.
Mi naona client hakuja na hela nzuri ndo mana ulimfurusha😃🏃‍♂️‍➡️
 
Nitumie video moja uliowah kuitengeneza niitumie kama reference ili nielewe vzr h comment yako
 
Ah ila kama huna mambo mengi duniani huko, bc watakuacha wnyw 😂
Maisha ya binadamuyeyote mtu mxima ni reality show yenye mafekeche mengi ndo mana privacy ni haki ya kila binadamu lkn as long as mimi sio muhalifu they r warmly welcomed in my private life.Let them enjoy me😃.Iam enjoyable😃😃
 
Kumbe na wewe ni msaka fursa tu?

Ongea na Mbaga, mfikie makubaliano acha tamaa dada. Utakesha, alaf ukipata mtu akakufundisha inakuwa faida kwako japo itaingia mfukoni kwanza
 
Kuridhika ntakua muongo ila kama inabidi kulipa ndo nisaidiwe kujua apps za gharama nafuu sitaweza simply sababu sitaki ku reveal my Identity🙏🙏.
Duh jaman, ww c Nshakuambia kila kitu ama?

Duh bc poa 🙌
 
Dah jaman mm nmeshakuambia kila kitu n ww tuu umeamua kukaza Kichwa.

App yenye credit nyingi kwa nayoijua n gemini wanakupa 1000 credit, then ukiwa unaanza kuna ofa unaanza na 5k then unakuja 12500 then unakuja kwenye pesa yao ya siku zote ambayo n 50k
Naipataje hiyo app
 
NI eitha real life production au AI realistic .Ila kwani hata AI videos si ni 3D animation au?

Anyway.
Kwani mdogo eti wale wanaotengenwzaga movie serious wanatumiaga app gani?,Sidhani kama nao wanatumia hizi app za credits chache za gharama
Wengine hutumia open-source AI models na kuzi-run kwenye computer zao au kwenye cloud services badala ya kutegemea AI platforms zinazolipisha kwa kila generation.
 
Ushauri..

AI generated videos hazina human touch na ni rahisi kupuuziwa..

Hiyo 6m ni kubwa mno, kama ungeweza Unge fanya real production,, trust me ukienda kusaka director ambaye yuko hungry ukawa unampa laki kwa siku.. Then ukagharamia location hauta tumia hela nyingi na itauza sana.

Sijui kwanini but I find AI generated stuff hectic..

Sijajua maudhui ya hiyo documentary ila kama ni ya kibiashara tumia AI kwa uchache sana. Itakusaidia kwenye sales.

Anyways, hongera kwa kujifungua, Mwambie uncle Nakuja kumwona soon(jokes).

Best wishes
Hata mm nikiwa na-scroll nikakutana na AI video huwa naipita kama sioni.
 
Ushauri..

AI generated videos hazina human touch na ni rahisi kupuuziwa..

Hiyo 6m ni kubwa mno, kama ungeweza Unge fanya real production,, trust me ukienda kusaka director ambaye yuko hungry ukawa unampa laki kwa siku.. Then ukagharamia location hauta tumia hela nyingi na itauza sana.

Sijui kwanini but I find AI generated stuff hectic..

Sijajua maudhui ya hiyo documentary ila kama ni ya kibiashara tumia AI kwa uchache sana. Itakusaidia kwenye sales.

Anyways, hongera kwa kujifungua, Mwambie uncle Nakuja kumwona soon(jokes).

Best wishes
Its true that kwa sasa video story za ai zimeanza kupuuzwa mtu akisha scrow to kuona ni video ya ai ana move.
So ikiwa malengo ni documentary unaweza kuchanganya scenes za real shots na ai generated.

I am Video producer & Editor, Graphics designer, VFX artists nk, ukihitaji msaada katika sekta hiyo karibu.🙏🏻
 
Wengine hutumia open-source AI models na kuzi-run kwenye computer zao au kwenye cloud services badala ya kutegemea AI platforms zinazolipisha kwa kila generation.
SOrry mkuu kama swali langu litakua la kijinga.

Unamaana unaweza ku install ai movie generator app kwenye computer yako then ukawa una create videos bila hofu ya credits kuisha?
Kwamba ni unakua unatengeneza tu fvideos free of charge?
 
Back
Top Bottom