Nimeona kuna member kakupa offer ya kukutengenezea kwa gharama nafuu...Toa na wewe muongozo usitegee wengine boss Smart
AI uongo kabisaHata mm nikiwa na-scroll nikakutana na AI video huwa naipita kama sioni.
Huyu hapa pridaIts true that kwa sasa video story za ai zimeanza kupuuzwa mtu akisha scrow to kuona ni video ya ai ana move.
So ikiwa malengo ni documentary unaweza kuchanganya scenes za real shots na ai generated.
I am Video producer & Editor, Graphics designer, VFX artists nk, ukihitaji msaada katika sekta hiyo karibu.🙏🏻
Pole sana, sasa aliyekuzalisha kaenda wapi? Kama sijakosea upo maternity ya mwaka mzima...Mimi ni mjane naomba unilipie hiyo ofa boss smart.Hali yangu ya maisha cha thamani ni hii pumzi tu .
Mkufunzi mwenyewe wa kupatiwa muamala wa ada ya mafunzo ni huyu kijana Mbaga Jr .
Sawa, nimekuelewa dada ake, worry outRudia kusoma heading yangu please
Pole sanaBoss mwenyewe ana maswali mi nimeshindwa kuendelea kumpigia goti.Acha nibaki na shida zangu
Nimefunga mdomo🤐Acha fujo basi na wewe utanifukuzia donors
Sio App mwayaa 😅 hii kitu ipo more technical, ila umesema wewe unapenda kujifunza kwa hiyo ukijifunza utaweza kuelewa ni nini unatakiwa kufanya we cheza na google na ChatGptSOrry mkuu kama swali langu litakua la kijinga.
Unamaana unaweza ku install ai movie generator app kwenye computer yako then ukawa una create videos bila hofu ya credits kuisha?
Kwamba ni unakua unatengeneza tu fvideos free of charge?