Ahsante Wabunge Wa CCM, Ahsante JF!

Apr 27, 2006
26,588
10,375
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!

William.
 
nakutakia kila la heri William, kwa sie watu wa marekani tutakushangaa kama utapata huo ubunge halafu ujivike gamba kama magamba wengine
 
Hongera zako mkuu. vipi mchakato ulikuwaje? tujuze japo kwa kifupi !
 
Hongera Mkuu tunakutakia kila la kheri, ila ukifanikiwa siyo uende na magamba style jitofautishe nao at least uende ki Jf
 
hongera sana le mutuz,tunaomba uingie kule as agent of change,utuwakilishe vyema na kuleta mafanikio kwa nchi zetu za jumuia.
 
- Wakuu JF, heshima mbele sana ndugu zangu leo kwa mara nyingine tena tumepita kuelekea mwisho wa Safari ya mbio zetu za Ubunge wa EAC, we are almost there jamani bado kidogo sana, twende kwa mbele sasa I mean mwendo mdundo jamani twende kwa mbele!

- MUNGU AIBARIKI TANZANIA, NA MUNGU AIBARIKI JF KUMKOMA NYANI!

William.

Hongera!
 
Back
Top Bottom